Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama ndio anaelekea serikali ya viwanda kwanza kaagiza kuandaa kanzi data ya viwanda vyote na kutatua changamoto zote Jpm alimkuta Dangote lakn kash kash alizopitia Dangote kidogo ahamishe kiwanda mpaka kikwete akaingilia Kati .
 
Hawa mataga achaneni nao na bahat nzuri mama anawapimia tu kwenye rada zake ,na ukigundulika tu unapinga utawala wake unaliwa kichwa.

Tena kwa hapa ntakuwa chawa wa kujitolea kwa mama yetu yaan full kuqasagia kunguni ,ni mwendo wa kutuma tu list ya wote wenye element za kupinga .

Mama mpaka 2035 atake asitake tutamlazimisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nasema uongo ndugu zangu?
 
Huo ndo ukweri wenyewe, turichereweshwa sana.
 
Sasa moja kwa moja kwenye mada husika,tangu huyu Mama aingie madarakani nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wake,ingawa kweli ni mapema sana kuanza kumtolea hukumu,lakini nachelea kusema huyu Mama HATUFAI hata kidogo especially kwa wale tunaotaka kuona Tanzania inapiga hatua za kweli za kimaendeleo na sio siasa,

Kwa sasa nisingependa kuongea mengi ila ninachoweza kusema ni kwamba HAJUI Taifa hili linataka nini ili kujikomboa,anaonekana ni mtu wa KUFURAHISHA watu tu,bila kujali hii inchi inaathirika au inafaidika vp na anachokifanya,nauona mtindo wa utawala wa Kikwete ukijirudia kwa kasi sana nchini,

Ni dhahiri mpaka sasa huyu Mama anafanya mambo kwa kupangiwa au kuchukuliwa na upepo tu wa kwenye mitandao ya kijamii lakini yeye binafsi hana mipamgo na maono yoyote ya kueleweka juu ya Tanzania.
 
Mkileta nyenyenyeeee mtashughulikiwa tu. Mama anafanya yale ambayo watanzania wote wanapenda yafanyike bila kujali vyama vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…