MSTARI WA NYUMA
Senior Member
- Feb 28, 2021
- 100
- 138
Muacheni Mama afanye kazi hizo kelele za nini?Hafu kwa nini mnamlazimisha Mama awe kama JPM?kama ilivyokuwa enzi za JPM wapo ambao hawakumuelewa wala kumkubali sio lazima wote tumkubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa hivi hata kutenda haki mwenda zake alihubiri eehUzuri anaendeleza alichokiacha Mwendazake tunashukuru Mungu kwa hilo.
Huo ndo ukweri wenyewe, turichereweshwa sana.Hawa mataga achaneni nao na bahat nzuri mama anawapimia tu kwenye rada zake ,na ukigundulika tu unapinga utawala wake unaliwa kichwa.
Tena kwa hapa ntakuwa chawa wa kujitolea kwa mama yetu yaan full kuqasagia kunguni ,ni mwendo wa kutuma tu list ya wote wenye element za kupinga .
Mama mpaka 2035 atake asitake tutamlazimisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nasema uongo ndugu zangu?
[emoji23] haina namna mkuu, ni kupigwa mitama tu na kugongwa chanjo. Game over[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Sikiliza video clip hii hapa chini mkuu.Haahaa hivi hata kutenda haki mwenda zake alihubiri eeh
Mkileta nyenyenyeeee mtashughulikiwa tu. Mama anafanya yale ambayo watanzania wote wanapenda yafanyike bila kujali vyama vyao.Wewe ni moja Kati ya wasiojielewa na huwenda hauko Sawa!
Kama ulivyprodhesha madhila yoote yaliyosababishwa na jiwe, ni pamoja na watu kukosa Uhuru wa kuongea, halafu hilohilo ambalo unalikataa lisijrudie, wewe unasema watu washughurikiwe!!!
Duniani Ni mahali ambapo hapajawahi kueleweka,!!
Na uache kutisha watu mara moja
Hivi kuna mpenda sifa kama aliyepita?Mimi namshangaa sana Mama.....cheap popularity itammaliza
Hayupo na hatotokea milele.Hivi kuna mpenda sifa kama aliyepita?