Ndio hapo sasa. Inaingia akilini kweli? Yaani mtu anaanzisha uzi humu kumaanisha rais kachoma mafuta bure. Kuna watu wenye vichwa vya ajabu humu.Kwaiyo kachoma mafuta bure? Kuongelea mahindi au kuna vitu vingine sio kwa faida ya PUBLIC?
Yu wili dai in ze rekiiMungu fundi kweri-kweri
Yaaani kaka mimi nimesoma hizi nyuzi za wadau nikagundua kama taifa bado tuna safari ndefu, mbumbu bado ni wengi sana to the extent hata hawajaona umuhimu w safari ya mana kenyaNimeamini kweli hii nchi mambumbumbu ni wengi sana kama mleta mada. Unasema tumewaachia gesi yetu hivi unajuwa hata kilichofanyika kuhusu gesi huko Kenya? Jamani tuwe tunafuatilia hivi vitu kikichofanyika ni MoU na mjadala unaendelea lengo ni kufikia mkataba utakaonufaisha pande zote mbili kwa sawa. Sasa inakuja mbuzi hapa inasema mama kaacha gesi Kenya aisee bado tuna safari kama nchi.
Wajinga tu ndo mnadanganywa jpm kafa kwa coronaNyie wengi wenu mlivutiwa na zile kelele zake na kuongea kwa vitisho na kujifanya mwamba kumbe werevu wanamchora tuu kikowapi sasa mbona imemuondoa? Au hujuwi kilichomuua mungu wenu?
Watu wengi zaidi ya 100 mkiomba maombi ya aina moja Mungu haraka Sana uyasikia na utendaMungu fundi kweri-kweri
Kwani na nyinyi si mmekaribishwa kwenda kuwekeza Kenya.Hii nchi tunapoelekea hata sipaon kabisa tunajizika kabisa
Kabla hujaleta sifa za kusifu na kuabudu embu Tuambie kwenye ziara ya Mama na Rais unafikir ni Nan kafaidika na Nan kaliwa kichwa? Watanzania nchi hii tunaiteketeza yani pamoja na mambo yote Rais Samia alio waachia wakenya juu yetu ikiwemo na gas yetu ila wao wameruhusu Mahind tu? Na kuruhusu watu wapite mipakan alafu mama Atarud tz kifua mbele kua katoka kwenye ziara???
Rais kawakaribisha wakenya waje kulima tz Sasa najiuliza io ziara alio enda Kenya kuomba tuuze maindi kwao wakenya wakisha Anza kuvuna sijui Hao watanzania watamuuzia Nan yani Kuna vitu mtu anafanya unajiuliza how
Yani Rais wetu hajamaliza migogoro ya Ardh tanzania Kuna watu wanauana ila kapanda ndege kwenda Kenya kuwaahid watu Ardhi
Tanzanian hii sijui Tunaenda wap yani kutoka Tanzania mpaka kwenda nchi ambayo inashindwa mamilionea na watz kuwaomba waje kuwekeza ni uji kabisa kwa hasira mpaka point zimeniishia
Nawewe jinyonge basi ili tujue unakereketwa.
Na hapo bado hadi mtahama nchi mrudi kwenu burundi.
Alikuwa chuma hasa.Magufuli was super bana, vitu vidogo kama hivi avifate kenya? Angepiga simu moja tu wasipotaka waache.watanunua wengine au sisi tutakula wenyewe kwani sh ngapi basii??
Ila jpm alikuwa chuma aisee
Alikuwa chuma hasa.
hivi ilikuwaje wakaacha kununua mahindi??Kama alivyosema atanunua mwenyewe korosho, na kilichofuata hapo na madhira kwa wakulima wa korosho!
Btw, yaani mlichokiona kwa Samia kwenye ziara yake ya Kenya ni suala la kuuza mahindi?
Wafuasi wa Jiwe mna viroja ambavyo haviwezi kufanywa hata na mtoto wa Darasa la IV
Na hivi mtaendelea kuweweseka hadi lini? Nyie ndio watu mnaomuombea Samia afanye vibaya ili tu Malaika Jiwe aonekane alikuwa bora wakati alikuwa janga tu kwa taifa!!!
Btw, katika huo unyanyuaji wake wa simu, aliweza kuboresha bei ya mazao yapi?!
Mnavyopenda kujitoa ufahamu, hamkawi kusema "huoni bei ya sukari na ya mafuta ya kula ilipanda"!!!
siku hizi unaimba taarabu kama dr kumbuka[emoji23][emoji23].Nawewe jinyonge basi ili tujue unakereketwa.
Na hapo bado hadi mtahama nchi mrudi kwenu burundi.
mama 5-mataga 0 AGG ni 5:18Mpaka dakika hii mataga bila bila ( Mama 5- Mataga 0)
Lazima tu walete majungu
Makao makuu ya cdm yapo mtaa wa ufipa kinondoniChadema siku hizi mmehamia Kenya?
Au ndo kila Ngoma mnacheza
Walisema Mahind ya tz yanasababisha kansa Sasa sijui sasaiv kansa wameimaliza?, awa watu wa janja Sana ukiwa mjinga wanakula kichwa na jichohivi ilikuwaje wakaacha kununua mahindi??