Kama alivyosema atanunua mwenyewe korosho, na kilichofuata hapo na madhira kwa wakulima wa korosho!
Btw, yaani mlichokiona kwa Samia kwenye ziara yake ya Kenya ni suala la kuuza mahindi?
Wafuasi wa Jiwe mna viroja ambavyo haviwezi kufanywa hata na mtoto wa Darasa la IV
Na hivi mtaendelea kuweweseka hadi lini? Nyie ndio watu mnaomuombea Samia afanye vibaya ili tu Malaika Jiwe aonekane alikuwa bora wakati alikuwa janga tu kwa taifa!!!
Btw, katika huo unyanyuaji wake wa simu, aliweza kuboresha bei ya mazao yapi?!
Mnavyopenda kujitoa ufahamu, hamkawi kusema "huoni bei ya sukari na ya mafuta ya kula ilipanda"!!!