900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
hata jiwe hakuwaona waliomtangulia kama walikuwa maraisi,kwahiyo ccm ni ileileNi swala la muda tu.Hapa hatuna Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata jiwe hakuwaona waliomtangulia kama walikuwa maraisi,kwahiyo ccm ni ileileNi swala la muda tu.Hapa hatuna Rais
Huyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.....
sidhani kama ana vision....
ie anataka kutupeleka wapi katika levo za kiuchumi...
Ukweli wa Mambo hatuna kiongozi ni matatizo matupu tutajuta ,sababu tunarudishwa enzi za ubwana na utwana .mama upeo wake ni mdogo sana na ujasiri Hana hata kidogo.
Pole for your loss bro , jipange upya utafute kibarua ushiriki kwenye ujenzi wa taifa sasa zama za ujanjaujanja zimeshapitaCheki puuzi hili hata halijielewi lipo kama tutusa
Yaani watoto bwana wakizoea baba mjinga wa kufokafoka tu ovyoovyo Haya ndio madhara yakeHotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Mfufueni Hayati Aje Aendelee na Urais wapumbavu nyieNi swala la muda tu.Hapa hatuna Rais
Nyie ndio miuza ngada.....Pole for your loss bro , jipange upya utafute kibarua ushiriki kwenye ujenzi wa taifa sasa zama za ujanjaujanja zimeshapita
"KAZI IENDELEE."
Kuna kundi kutoka SUKUMA & CO .LTD na wamepewa kazi maalum ya kupinga na kukosoa kila hatua ya Rais mama samia kwa sababu tu mipango yao ime kwama baada ya waliye mtarajia awe mpendwa wao wa kudumu kutwaliwa na ndio hao mnao ona wana haha huku mitandaoni kutukana na kukejeli kila hatua ya Mh. Samia suluhu na kinara wao mpanga mikakati anafuatiliwa bila yeye kujijua.Nahisi kama mleta mada ana multiple ids maana si kwa majibu hayo
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Ukweli wa Mambo hatuna kiongozi ni matatizo matupu tutajuta ,sababu tunarudishwa enzi za ubwana na utwana .mama upeo wake ni mdogo sana na ujasiri Hana hata kidogo.
Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Wasukuma wanaingiaje kwenye mada hii?Wasukuma roho zinawauma
Kwaio mnataka kumpindua au .Ni swala la muda tu.Hapa hatuna Rais