Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Achana na huyo mdini,tunataka mtu kwenye uwezo.
Udini utaturudisha kule nani achinje,nyama zakwenye makopo alichinja nani.
Huyo anayempangia Rais kupitia udini alitegemea uteuzi
Masela tayari,

Kuna jamaa toka weusi.
 
Kuna watu wakati Jiwe amezima walitoa rai yao tuzike kwanza ndiyo tupate mrithi je Walikosea?
 
Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali

Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.

Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.

Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo

Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!

Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
Kwahiyo mama siku izi haupigi mwingi ndani ya siku 100?? Vijana wa ufipani mama kawashika pabaya kweli kweli.
 
Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali

Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.

Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.

Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo

Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!

Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
Hayuko hapo kama Rais ili Kumfurahisha kila Mtanzania, bali yuko pale Kuongoza nchi Kikatiba na bahati nzuri nchi inaenda vyema tu.
 
Kufa hufi ila utalalamika hivi hivi hadi mdomo upinde
Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali

Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.

Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.

Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo

Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!

Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
 
Watu wanateuliwa kwa sifa si mapungufu au asili yao hao wahindi na wamanga unaowasema mbona hatuwaoni Police,Jeshini kama kweli ni wazalendo ? Mbona Ulaya na US ukienda kwenye vyombo vya usalama utakuta kila asili ya watu waliopo kwao sifa moja ya uzalendo ni kuwa tayari kulinda nchi yako

Hao wakina Kanji watulie tu madukani
 
Walianza kumpongeza kwa kauli ya eti "mama anaupiga mwingi sana!"

Ajabu,sasa hata wao hawamwelewi na wanadai "haeleweki."

What next, rasmi wameanza kujipanga kumkaba ili badala ya ile kauli ya "mama anaupiga mwingi" iwe kinyume chake yaani wao wanataka "wampigie mwingi" hadi achanganyikiwe!

Na wameshaanza kupitia Viongozi wao.

RiP JPM.
 
Walianza kumpongeza kwa kauli ya eti "mama anaupiga mwingi sana!"

Ajabu,sasa hata wao hawamwelewi na wanadai "haeleweki."...
Wanaompenda huyo JPM wanamfuata, kwa hiyo nawe kama unampenda basi mfuate tu. Tanzania ina watu wengi wema na waaminifu.

Nilichogundua wengi wa wapiga na waimba mapambio wa JPM hawakuwa au Sio Watanzania kwa 100% kwani wana roho mbaya na za kishetani sana. Wao furaha yao ni kuona baadhi ya watu wakiteseka, sijui wanafaidika na nini! Duniani tunapita, hizi mali na mambo mengine tutayaacha. JPM leo hii huko aliko hana ule Ulinzi wa Helkopta Juu, magari ya kuzima mawasiliano wala wale washika silaha za Moto kama tupo Vitani.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwani si ana haki zote, unajuaje kama halindwi pale alipowekwa.
 
Sasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba, Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu, besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma

Nawasilisha
Si angeondoka? She stayed, urologist wa fedha na uongozi. Labda alishiriki kuua
 
Hatimaye sasa hata wasiokuwa na masikio, tutasikia. Ni ndani ya siku 100 hakuna kilichofanyika zaidi ya teuzi. Ndani ya siku 100 mwelekeo wa nchi kiuchumi haueleweki. Mwelekeo wa nchi kisayansi haueleweki. Mwelekeo wa nchi kielimu haueleweki. kilimo pia hakieleweki.

Sasa tunazibuliwa masikio na ongezeko la nauli. Mafuta ya mitambo na mgari bei juu. Diseli inatufikisha kwenye shilingi 2500! Rais bado anawaombeni apewe muda wa kurekebisha mambo. Kama kweli hii ndo hali halisi ndani ya corona, shughuli za kibiashara zikianza rasmi duniani, kwa utawala huu tujiandae diseli kufikia shilingi 300. Wanaomuona rais ni mkombozi wa siasa na demokrasia teteeni na toeni sifa.
 
Back
Top Bottom