Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masela tayari,Achana na huyo mdini,tunataka mtu kwenye uwezo.
Udini utaturudisha kule nani achinje,nyama zakwenye makopo alichinja nani.
Huyo anayempangia Rais kupitia udini alitegemea uteuzi
Kwahiyo mama siku izi haupigi mwingi ndani ya siku 100?? Vijana wa ufipani mama kawashika pabaya kweli kweli.Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali
Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.
Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.
Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo
Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!
Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
Hayuko hapo kama Rais ili Kumfurahisha kila Mtanzania, bali yuko pale Kuongoza nchi Kikatiba na bahati nzuri nchi inaenda vyema tu.Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali
Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.
Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.
Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo
Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!
Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali
Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.
Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino
Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.
Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo
Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!
Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
You only know about social distancing, you need a booster.Unafiki gani Kwani hapo hakuna social distance
...wewe wasemaUnataka kuniambia Mama hatoshi ?.🦴
...KageraKwani una jitombashisho ukiwa maeneo gani mtoa mada?
Bora huyu ila sio lile jiniWalianza kumpongeza kwa kauli ya eti "mama anaupiga mwingi sana!"
Ajabu,sasa hata wao hawamwelewi na wanadai "haeleweki."....
Ww jizi......itakuwa ulinigwa kisawa sawa....Bora huyu ila sio lile jini
Hapo kwenye RIP ndo umeharibu.Walianza kumpongeza kwa kauli ya eti "mama anaupiga mwingi sana!"
Ajabu,sasa hata wao hawamwelewi na wanadai "haeleweki."....
Wanaompenda huyo JPM wanamfuata, kwa hiyo nawe kama unampenda basi mfuate tu. Tanzania ina watu wengi wema na waaminifu.Walianza kumpongeza kwa kauli ya eti "mama anaupiga mwingi sana!"
Ajabu,sasa hata wao hawamwelewi na wanadai "haeleweki."...
Si angeondoka? She stayed, urologist wa fedha na uongozi. Labda alishiriki kuuaSasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba, Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu, besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma
Nawasilisha