Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye pombe wateja ni wachache na wasingekusanya zaidime nakunywa pombe lakini hamna kitu kinaniuma kama kushusha bei ya pombe. kupandisha ya mafuta.
Lakini mnasemaga bora demokrasia kuliko uchumi/maendeleo ya vitu. Kwamba gadafi aliwapa walibya kila kitu kasoro demokrasia hivyo wakamtoa. Sasa basi kuleni demokrasia itumieni kutolea pesa kwenye miamala yenu ya tigo na mpesa.Kwa tozo hizi ni bora ya mwendazake
Tozo za kidikteta hizi nani alishirikishwa.Lakini mnasemaga bora demokrasia kuliko uchumi/maendeleo ya vitu. Kwamba gadafi aliwa walibya kila kitu kasoro demokrasia wakamtoa. Sasa basi kuleni demokrasia itumieni kutolea pesa kwenye miamala yenu ya tigo na mpesa.
Mkuu hizi tozo raisi mwenyewe karidhia, hakuna waziri anayeweza kwenda kinyume na raisi. Hivyo huu ni msalaba wakeAliambiwa asuke upya safu yake hakusikia waliopo wanamuhujumu kumfitinisha na wananchi asikii ngoja mguu uote tende.Sukuma gang mataga at work.
Hii kitu sio kweli, hakuna waziri anayeweza kufanya kinyume na raisi.Naona kabisa Mama anahujumiwa na watendaji kuanzia mawaziri na wengine
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu
Nauli mabasi mikoani juu
kodi za kusafirisha bidhaa nje kubwa mnoo
MAMA YETU UNA MAMLAKA MAKUBWA KWA KATIBA HII FUKUZA WOTE KUANZIA WAZIRI TAFUTA TEAM MPYA YA UCHUMI KWA MASLAHI YA WATANZANIA
kwa kweli anahitaji kujua michezo hii kuanzia awamu ya kwanza yalikuwepo mpaka sasa yanaendelea haya ndio mambo yaliyokwamisha mambo mazuri kufanyika ni kazi ya kumhujumuu tu rais mara zote, mkapa alifukuza mawaziri hapo kwa hapo alipoona wanamzingua Mama asome historia ya mkapa na watendaji wake kwa miaka mitano ya mwanzo. 1995-2000.Mama ajui michezo ya siasa,msingida mbio za uraisi ajakata tamaa bado ngoja amuharibie mama Kwanza
Mwache acheke nao na huruma zake zitamponza.kwa kweli anahitaji kujua michezo hii kuanzia awamu ya kwanza yalikuwepo mpaka sasa yanaendelea haya ndio mambo yaliyokwamisha mambo mazuri kufanyika ni kazi ya kumhujumuu tu rais mara zote, mkapa alifukuza mawaziri hapo kwa hapo alipoona wanamzingua Mama asome historia ya mkapa na watendaji wake kwa miaka mitano ya mwanzo. 1995-2000.
Hiyo safu unayotaka aisuke inatoka wapi? CCM ni haohaoMwache acheke nao na huruma zake zitamponza.
Ye ana mamlaka anashindwa vipi kusuka upya safu yake mpya hadi abaki na walioathirika na sumu za mwendazake.Hali mtaani wasomi wa maaana wamejaa.
Umenena,bora achukue upinzaniHiyo safu unayotaka aisuke inatoka wapi? CCM ni haohao
Akimtoa mwigulu utashangaa kamuweka kigwangalla, akimtoa kigwangalla utashangaa kamuweka Juliana shonza
CCM ni haohao
Astaghafirullah!Umenena,bora achukue upinzani
Kuna makondoo ya ufipa utadhani yalilogwa,oo democracy ni muhimu na Uhuru wa kuropoka Kama chiriku ndiyo ilikuwa hitaji lao,wamepewa Sasa Tena yamegeuka.Lakini mnasemaga bora demokrasia kuliko uchumi/maendeleo ya vitu. Kwamba gadafi aliwapa walibya kila kitu kasoro demokrasia hivyo wakamtoa. Sasa basi kuleni demokrasia itumieni kutolea pesa kwenye miamala yenu ya tigo na mpesa.
Jembe wkt yeye ndiye ameleta mamiradi yasiyotekekezeka mpk tunakamuliwa hiviNikiwambia magufuri alikuwa jembe mkabisha