Andrew Chenge afika kwenye Kamati ya Katiba, awataka Wajumbe warudi kwenye Rasimu ya Warioba

Mlipotaka afungwe jela hamkujua ana mazuri yake?
 
Huwa nawaza hawa kuna mtanzania hata mmoja anawaamini?

Wengi Sana, ndio maana mpaka Leo ni miaka saba CCM wameogopa kuruhusu mikutano ya hadharawakihofia nguvu ya upinzani. Na hivi mtaani Maisha ni magumu acha tu.
 
CCM ndio imejaa wajinga, ndio maana mpaka leo tunahangaika na ugumu wa maisha. Mikopo, too na ushuru. Halmashauri za kwenu, vijiji na mitaa na wabunge wote wenu, ila Sasa mnachojua ni kukopa na tozo.
 

Tofautisha character ya Chenge na maoni ya Chenge. Usikariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…