Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Angekua jela kama mlivyotaka huo ukweli mngeusikia saa ngapi?Hajawa mzuri, kaongea ukweli aliokuwa anaogopa kuuongea alipokuwa kwenye kibuyu cha asali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekua jela kama mlivyotaka huo ukweli mngeusikia saa ngapi?Hajawa mzuri, kaongea ukweli aliokuwa anaogopa kuuongea alipokuwa kwenye kibuyu cha asali.
Nani kaibiwa?Wangekuwa hawaaminiki mngewaibia kura?
Mlipotaka afungwe jela hamkujua ana mazuri yake?Ndiyo, ni mzuri;
✓Hakuna mtu mbaya ama mzuri kwa 100%, UKIWEMO WEWE...
✓Kila binadamu ana pande mbili. Yaani upande wa udhaifu na ule wa uimara/mazuri, UKIWEMO WEWE...
✓ Hakuna mtu ambaye ana maadui tu, UKIWEMO WEWE...
✓ Hakuna mtu ambaye anapendwa na watu wote, UKIWEMO WEWE..
✓ Hakuna mtu ambaye ana maadui wote, UKIWEMO WEWE..
## Wewe ndiye mwenye matatizo iwapo mchana kutwa umetazama madhaifu au mabaya ya mtu pekee yake..
## Ili usiumie, nakushauri tazama upande wa mazuri ya mtu hata mara moja tu kwa kutwa, utauona uponyaji wako...!!
CC: SINGLE WINDOW
Jiulize, kama hawaaminiwi kwa nini hamuwezi kuwashinda bila kuiba Kura?!Huwa nawaza hawa kuna mtanzania hata mmoja anawaamini?
Akijibu nistueJiulize, kama hawaaminiwi kwa nini hamuwezi kuwashinda bila kuiba Kura?!
Angefuatwa hukohuko ili atoe maoni yake.Mlisema anastahili kuwa jela, vipi mngesikilizwa hayo maoni mngeyapataje?
Wapo...ndiyo maana Dola yapasa kuamua Nani ashike hatamu,ukiacha demikrasia ufanye kazi kwa jamii isiyoelimika na kuitisa nchi kwenye bahari ya zahama
Chenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
Kwani Halima Mdee yuko Chadema au CCM?
Hahaha....... Chadema mnayumba sana!
Huwa nikiwatafakari BAVICHA napata hofu ya afya zao za akili
Chadema ni wapumbavu sana
Huwa nawaza hawa kuna mtanzania hata mmoja anawaamini?
Unashangaa chenge,mamvi walimoa kiti agombee..Wana mentality ya kikahaba
Chenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
Mlisema anastahili kuwa jela, vipi mngesikilizwa hayo maoni mngeyapataje?
Linahusiana kwa sababu bado chadema haijawahi kutoka hadharani kumsafisha Andrew Chenge dhidi ya tuhuma mlizowahi kumtuhumu kupitia "List of Shame" ya Mwembeyanga.
Mnapoongea muwe pia mnatunza kumbukumbu.
Kwa sababu wengi wa wafuasi wa Chadema,huwa hamjui kwamba kwenye Siasa hakuna "adui wa kudumu".
Kaangalie walipata kura ngapi,nadhani Hilo litajibu swali lako na kuacha kuwaza!