Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

IMG_6691.jpeg

Kubali yaishe
 
Ingekuwa ni wale chawa wa Abdul unadhani wangemuacha, mngekuja kusikia maiti imeokotwa Mabwepande ikiwa imeng'ofolewa macho.
It make sense now, kwanini kwa hawa watu dawa ya kikoozi ni kukata kimeo tu.

Akili zao ni kutumia nguvu tu za madaraka waliyo nayo, they know nothing about utilising soft power.

Ndio maana huyo mama hana team humu JF zaidi ya committed CCM cadre who are unmotivated at doing their job.

These people are easy and very stupid apparently.
 
Let's hope that their doomsday is around the corner.
 
sijajua kwanini watetezi wa chama kile uwa hawajui kutetea hoja zao.zaidi ya matusi,kejeli na dharau.hivi kijana unavyomuita FOOLISH hivi atakusikiliza kweli hoja zako?
 
Viongozi wa kikristo wamedhamilia kweli Samia, hakuna hujuma za wazi kama uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini wote hawa walikuwa kimyaaaaaa. Sasa hivi jinsi wanavyoongea utafikiri ndo yanatokea. Unafiki mbaya sana.........Mungu atamlinda Samia, hiyo ndo Imani yangu na yetu tusio na hila!!!
 
Yupo sahihi apostle kama nawenni mla nyama/tshirt hakuna neno unalostahili zaidi ya kutukanwa
Sasa HAMUWEZI kuwavuta vijana Kwa style hyo.anatumia panic.kuliko kuelimisha.kula ubwabwa kupokea tshet ni uamuzi wa mtu .kama yeye hataki ni yeye asiwaseme wenzie
 
sijajua kwanini watetezi wa chama kile uwa hawajui kutetea hoja zao.zaidi ya matusi,kejeli na dharau.hivi kijana unavyomuita FOOLISH hivi atakusikiliza kweli hoja zako?
Foolish =mjinga
Mjinga ni mwerevu mtarajiwa baada ya kupewa elimu.
Kama ulivyo wewe.

Jina baya ni MPUMBAVU.
 
Foolish =mjinga
Mjinga ni mwerevu mtarajiwa baada ya kupewa elimu.
Kama ulivyo wewe.

Jina baya ni MPUMBAVU.
Sawa vipi hao vijana wameshamuelewa?.
Hivi unajua wale vijana wanaokwenda kujilipua Kwa kujitoa muhanga uwa wanaambiwa nini?
Hivi unaweza kumuita mtu foolish alafu umwambie akajitoe muhanga?kosa la kwanza la chadema hawawezi kushawishi agenda zao
 
Back
Top Bottom