Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

Sawa vipi hao vijana wameshamuelewa?.
Hivi unajua wale vijana wanaokwenda kujilipua Kwa kujitoa muhanga uwa wanaambiwa nini?
Hivi unaweza kumuita mtu foolish alafu umwambie akajitoe muhanga?kosa la kwanza la chadema hawawezi kushawishi agenda zao
Kwani huyo jamaa ni CHADEMA or it's just your assumptions kuamini kila anayepinga ujinga ni CHADEMA.
 
Siyo ujinga bali ni upumbavu.
Ili wasiwe wapumbavu unataka wafanye nini?
Maana nchi hii ni ya vyama vingi na Kila mtu anachagua chama anachotaka.mtu kaenda Kwa mgombea wake.akapewa tshet na kanga akapikiwa na ubwabwa kosa lake lipo wapi?
Huyo ni mfuasi wa hicho chama
 
Viongozi wa kikristo wamedhamilia kweli Samia, hakuna hujuma za wazi kama uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini wote hawa walikuwa kimyaaaaaa. Sasa hivi jinsi wanavyoongea utafikiri ndo yanatokea. Unafiki mbaya sana.........Mungu atamlinda Samia, hiyo ndo Imani yangu na yetu tusio na hila!!!
Mungu halindi dhambi, labda useme majini yatamlinda.

Uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa mbaya, lakini haukufikia kiwango cha 2024 na 2025.

Uchaguzi wa 2019 na 2029, yule alipora tu kura, lakini huyu mpaka ameua wagombea (2024, kuoitia mkwe wake aliua wagombea wa CHADEMA), na kumfunga mpinzani wake (Magufuli hakumfunga Lisu kama alivyofanya huyu mtu). Huyu ni shetani wa kiwango cha pekee kabisa.
 
Jana nimepita mahali kuna kampeni daaah kundi la vijana kama kumi wanakata mauno juani, jua la saa nane mchana wakiume kwa wakike, nilijiskia huruma juu yao..... Umasikini ni mbaya sana
 
Ukimsikiliza vzr utagundua kunachangamoto kwenye mfumo wa Elimu wanayopatiwa vijana now dayz... haina ku resoan... hakuna maind independent ila ni kukalilishea zaman wazaz walitupenda ila walituacha tujitegemee wenyewe
Leo kijana mpka miaka 30 anaishi kwa mzazi tena anafurahia... aseee toka nyumbani miaka 20 umechelewa sana tafuta cha kufanya... ikiwa nusu tu ya vijana watakuwa na uwezo wa kujitegemea kimawazo kabisa wasio kuwa walalamikaji taifa litakuwa na maendeleo ya dhati kabisa...

Kwa sasa bado tunasafri ndefu na wanasiasa wanawatumia vijana kama ngazi kwa manufaa yao ya badae...

Stuka kijana
 
Huyu mchungaji ana akili sana!
Ndio maana idadi ya vijana wanaotoa mata.ko iko juu sana...wanapenda sana kitonga na CCM ndio imewafikisha hapa ila hawaelewi....na watasuguliwa sana malofa hawa
 
Mungu halindi dhambi, labda useme majini yatamlinda.

Uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa mbaya, lakini haukufikia kiwango cha 2024 na 2025.

Uchaguzi wa 2019 na 2029, yule alipora tu kura, lakini huyu mpaka ameua wagombea (2024, kuoitia mkwe wake aliua wagombea wa CHADEMA), na kumfunga mpinzani wake (Magufuli hakumfunga Lisu kama alivyofanya huyu mtu). Huyu ni shetani wa kiwango cha pekee kabisa.
Hohohooo. Naona mmechanganyikiwa na kuweweseka na chuki na wivu mpaka mnashindwa hata kuja na uongo ulioenda shule kidogo. Ulikuwa na miaka mingapi 2019/2020?!!!!! Pumbavu kabisa. Samia amemuua nani, mumeo?!!!!
 
Ili wasiwe wapumbavu unataka wafanye nini?
Maana nchi hii ni ya vyama vingi na Kila mtu anachagua chama anachotaka.mtu kaenda Kwa mgombea wake.akapewa tshet na kanga akapikiwa na ubwabwa kosa lake lipo wapi?
Huyo ni mfuasi wa hicho chama
Kuna kitu kinaitwa commonsensical au tuseme sound judgement, pale amewapa somo ili waache kuwa wapumbavu and rightly so it's his duty to educate them. Haiwezekani mtu anakula mavi niseme let him be kwa kuwa ameamua kula mavi when I have the obligation and responsibility kumtoa kwenye huo upumbavu.
 
Kwani kuwa mfuasi wa mgombea wa ccm ni upumbavu.
 
Kwani kuwa mfuasi wa mgombea wa ccm ni upumbavu.
Kawapa elimu simple kwamba wawe wanatumia common sense, hapo hakutaja chama chochote ila kwa kuwa umetumia common sense mwenyewe umefikia conclusion ya kuwa mfuasi au mgombea it's ikawa ni upumbavu.
-Majibu hayawezi kufanana ila elimu ili watu waache ujinga na upumbavu ni muhimu sana, deep down kuwa consciousness lazima utapata majibu sahihi of what's wrong and what's not.
NB: Supporters wengi wa CCM ni wapumbavu wasiojitambua na ndiyo maana the corrupt hierarchy is using them to remain in power.
-Jiulize maswali simple tu kwa mfano hivi watu wanaotekwa hutekwa kwa faida ya nani? Hao supporters wa CCM hufaidika vipi na utekaji na uuaji wa raia? Kama wanafaidika it's a different story lakini kama hawafaidiki kwanini huwa hawatoki hadharani kudai polisi inawalinda watekaji na wauaji kwa faida ya nani? Ku-support vitu vya aina hiyo ni aina mojawapo ya upumbavu. Watu wanatekwa na kuuawa huku wanaofaidika na mauaji hayo ni wengine halafu mtu una-support wauaji pamoja wa wanufaika wa mauaji kisa tu umepewa T-shirt na ubwabwa.
 
Back
Top Bottom