Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

Kawapa elimu simple kwamba wawe wanatumia common sense, hapo hakutaja chama chochote ila kwa kuwa umetumia common sense mwenyewe umefikia conclusion ya kuwa mfuasi au mgombea it's ikawa ni upumbavu.
-Majibu hayawezi kufanana ila elimu ili watu waache ujinga na upumbavu ni muhimu sana, deep down kuwa consciousness lazima utapata majibu sahihi of what's wrong and what's not.
NB: Supporters wengi wa CCM ni wapumbavu wasiojitambua na ndiyo maana the corrupt hierarchy is using them to remain in power.
-Jiulize maswali simple tu kwa mfano hivi watu wanaotekwa hutekwa kwa faida ya nani? Hao supporters wa CCM hufaidika vipi na utekaji na uuaji wa raia? Kama wanafaidika it's a different story lakini kama hawafaidiki kwanini huwa hawatoki hadharani kudai polisi inawalinda watekaji na wauaji kwa faida ya nani? Ku-support vitu vya aina hiyo ni aina mojawapo ya upumbavu. Watu wanatekwa na kuuawa huku wanaofaidika na mauaji hayo ni wengine halafu mtu una-support wauaji pamoja wa wanufaika wa mauaji kisa tu umepewa T-shirt na ubwabwa.
Chama kinachotoa tishet na kanga ni ccm usizunguke.
 
Na chama kinacho-support utekaji na uuaji pia ni CCM, tuendelee kwa pamoja kutumia common sense kupata majibu hatimaye tutafika kwenye point moja.
Tusizunguke.
Hapo unakuja kwenye hoja nyingine.ccm ni chama Cha siasa kina wafuasi ,Wana chama na wapenzi.utekaji ni makosa ya mifumo ya ulinzi na usalama.
Na hapo Samia ndipo anapofeli..
Ila wakirekebisha hayo uenda ccm wakawa bora
 
Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana wamepewa mishale, lakini vijana wa Tanzania ni mishale butu.
Akaongeza kuwa jamii ili iendelee inahitaji vijana, Taifa ili lipate mabadiliko linahitaji vijana.

Akasema ana machozi rohoni baada ya kushuhudia wanafunzi wamejazwa kwenye SGR wanapelekwa kwenye kampeni za CCM. Akauliza, hivi watoto hawa wakipata ajali, wahusika watawaambia nini wazazi wa watoto hawa? Akasema wanaofanya haya ni foolish.
Anasema, huko Arusha alishuhudia mambo ya aibu kabisa, vijana wanahongwa wali na nyama, akauliza, hivi ukishakula huo wali na nyama, mwisho wake ni nini zaidi ya kuchuchumaa chooni? Nadhani anawasema wale vijana waliohongwa mlo na Makonda.

Maneno yake yanafanana na yale ya Mwalimu Nyerere, aliyosema kuwa ili Taifa kuweza kuwa na mabadiliko kuelekea kwenye maendeleo, ni lazima liwe na vijana jeuri, vijana wanaoweza kuhoji, siyo vijana wakiambiwa lolote na mtawala, jibu lao ni 'ndiyo mzee', vijana wasioweza kuhoja chochote.

Kwa sasa tuna vijana wa hovyo kuliko hata hao aliowasema Mwalimu Nyerere, leo tuna vijana wa aina ya akina Mwashambwa, vijana wanafiki, waongo, vijana machawa, wanaomalizwa akili na book 10.

Hakika wakiinuka wachungaji, maaskofu, mapadre, mashekhe na maimamu kama 20 tu wa kiwango hiki, vijana wanaweza kuotambua nafasi waliyo nayo. Maana kwa hakika maovu mengi na masahibu mengi yanayotokea nchi hii, vijana ndiyo waathirika wakubwa. Ni vijana ndiyo hawana ajira, ndiyo wanaotekwa kwa wingi, ndio hawana kipato, ndiyo waliobakiwa na miaka mingi zaidi ya kuishi kwente mateso yanayosababishwa na CCM, lakini wamelala, wakisubiri wakombolewe na wazee!

Sikiliza mwenyewe:

Kijana kama adriz The Consigliere hovyo na bure kabisa
 
Mchungaji mwenyewe ni foolish. Aliwahi kuona wapi mtu akiwa na machozi rohoni?🤣

Cc: Mimi Wewe Yule
Screenshot_20250927_085707_Instagram.jpg
 
Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana wamepewa mishale, lakini vijana wa Tanzania ni mishale butu.
Akaongeza kuwa jamii ili iendelee inahitaji vijana, Taifa ili lipate mabadiliko linahitaji vijana.

Akasema ana machozi rohoni baada ya kushuhudia wanafunzi wamejazwa kwenye SGR wanapelekwa kwenye kampeni za CCM. Akauliza, hivi watoto hawa wakipata ajali, wahusika watawaambia nini wazazi wa watoto hawa? Akasema wanaofanya haya ni foolish.
Anasema, huko Arusha alishuhudia mambo ya aibu kabisa, vijana wanahongwa wali na nyama, akauliza, hivi ukishakula huo wali na nyama, mwisho wake ni nini zaidi ya kuchuchumaa chooni? Nadhani anawasema wale vijana waliohongwa mlo na Makonda.

Maneno yake yanafanana na yale ya Mwalimu Nyerere, aliyosema kuwa ili Taifa kuweza kuwa na mabadiliko kuelekea kwenye maendeleo, ni lazima liwe na vijana jeuri, vijana wanaoweza kuhoji, siyo vijana wakiambiwa lolote na mtawala, jibu lao ni 'ndiyo mzee', vijana wasioweza kuhoja chochote.

Kwa sasa tuna vijana wa hovyo kuliko hata hao aliowasema Mwalimu Nyerere, leo tuna vijana wa aina ya akina Mwashambwa, vijana wanafiki, waongo, vijana machawa, wanaomalizwa akili na book 10.

Hakika wakiinuka wachungaji, maaskofu, mapadre, mashekhe na maimamu kama 20 tu wa kiwango hiki, vijana wanaweza kuotambua nafasi waliyo nayo. Maana kwa hakika maovu mengi na masahibu mengi yanayotokea nchi hii, vijana ndiyo waathirika wakubwa. Ni vijana ndiyo hawana ajira, ndiyo wanaotekwa kwa wingi, ndio hawana kipato, ndiyo waliobakiwa na miaka mingi zaidi ya kuishi kwente mateso yanayosababishwa na CCM, lakini wamelala, wakisubiri wakombolewe na wazee!

Sikiliza mwenyewe:

Huo ndo ukweli inasikitisha sana
 
Asemayo yana ukweli kwa asilimia kubwa,Lakini kuna maswali makubwa haya ya msingi
1. Je yeye alipokua kijana kama katika umri wa hao anaowatuhumu alifanya jitihada gani kukabiliana na tawala kandamizi zilizokuwepo?
2.Kwani hakuna wazee wanaosombwa kwenda kwenye hiyo mikutano?

# I didn't make the rules ,nature did.
 
Yaani saiv Kila kijana analaumu vijana, hii nchi Iko unga haina matumaini tena ya kutoka mikononi mwa wa-imla.
 
Kama CRDB haijaanguka CCM haiwezi kuanguka.

Ni hivi, kama Watanzania wameshindwa kuiangusha CRDB kwa ujinga iliowafanyia, kwa kutoa hela zao kwenye hiyo benki, hawawezi kuiondoa CCM.
 
Hohohooo. Naona mmechanganyikiwa na kuweweseka na chuki na wivu mpaka mnashindwa hata kuja na uongo ulioenda shule kidogo. Ulikuwa na miaka mingapi 2019/2020?!!!!! Pumbavu kabisa. Samia amemuua nani, mumeo?!!!!

Wewe shetani punguani, nyamaza, kaa kimya.
Yule mgombea wa umwenyekiti wa kitongoji aliyeuawa na askari magereza kule Singida, aliuawa kwa amri ya nani, kwa amri yako wewe hayawani?

Yule kada wa CHADEMA aliyeuawa wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2024 kule Tunduma, kama hakuuawa na yeye, aliuawa na wewe shetani?

Ninyi mashetani washenzi wa CCM, msifurahie mauaji ya binadamu, mkijiona ni mna mamlaka juu wanadamu wengine.

Uhai wa binadamu yeyote, uwe wa mkosoaji, wa mwanachama wa chama chochote au asiye mwanachama, una thamani usiyoijua mbele ya aliyemwumba. lakini kwa sababu shetani wenu mnayemtumikia amewatia upofu wa roho na macho mnajiona ni washindi kwa kuwa mnaua na hamguswi na yeyote. lakini mjue kuwa ninyi na vizazi vyenu hamtaikwepa laana na adhabu ya Mungu muda sahihi utakapowadia
 
Back
Top Bottom