Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,903
- 3,139
Very trueKama CRDB haijaanguka CCM haiwezi kuanguka.
Ni hivi, kama Watanzania wameshindwa kuiangusha CRDB kwa ujinga iliowafanyia, kwa kutoa hela zao kwenye hiyo benki, hawawezi kuiondoa CCM.
Very trueKama CRDB haijaanguka CCM haiwezi kuanguka.
Ni hivi, kama Watanzania wameshindwa kuiangusha CRDB kwa ujinga iliowafanyia, kwa kutoa hela zao kwenye hiyo benki, hawawezi kuiondoa CCM.
Kwani na nyinyi wazee si kuna wakati mlikuwa vijana mlifanya nini?Ndio mtaji wa CCM, vijana wapuuzi wakubwa
Mbona unapotosha mada we kima?!!!!! Sawa, hebu taja walioondoka kwa utata 2016-2020 na tuonyeshe matusi na jitihada zenu zisizokomacza kumtoa aliyekuwa madarakani kipindi hicho.Wewe shetani punguani, nyamaza, kaa kimya.
Yule mgombea wa umwenyekiti wa kitongoji aliyeuawa na askari magereza kule Singida, aliuawa kwa amri ya nani, kwa amri yako wewe hayawani?
Yule kada wa CHADEMA aliyeuawa wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2024 kule Tunduma, kama hakuuawa na yeye, aliuawa na wewe shetani?
Ninyi mashetani washenzi wa CCM, msifurahie mauaji ya binadamu, mkijiona ni mna mamlaka juu wanadamu wengine.
Uhai wa binadamu yeyote, uwe wa mkosoaji, wa mwanachama wa chama chochote au asiye mwanachama, una thamani usiyoijua mbele ya aliyemwumba. lakini kwa sababu shetani wenu mnayemtumikia amewatia upofu wa roho na macho mnajiona ni washindi kwa kuwa mnaua na hamguswi na yeyote. lakini mjue kuwa ninyi na vizazi vyenu hamtaikwepa laana na adhabu ya Mungu muda sahihi utakapowadia
Foolish number one
Ndo elimu tunayoletewa na chama chako hahaaaa
Mrembo ushapewa vijoro kutoka Kwa watekaji, wauza bandari na mafisadi
Chama kipi. Unafikiri kila mtu ana ‘chama’ wewe kibwengo?😂Ndo elimu tunayoletewa na chama chako hahaaaa
Mimi binadamu ila wewe ni msukule wa ccm
Afadhali tukuite helakamili badala ya nusuhela ha ha ha, upuuzi mtupu🤣Mimi binadamu ila wewe ni msukule wa ccm
Aliye organize maandamano tarehe 29 kafeli sana, ilitakiwa maandamanoyawe kuanzia tarehe 25 au 26, tarehe 29 inafika Kuna vumbi tu hakuna mwenye hamu ya kupiga kura. Ila hiyo 29 hakuna maandamanoKwa matusi haya ya mchungaji, hakianani 29/10 ifike haraka. Kuna matarajio mawili tu: ama tupotee au Samia apotee.
Subiri utaona. Tatizo mlioshiba huwa mnadhani wote wameshiba.Aliye organize maandamano tarehe 29 kafeli sana, ilitakiwa maandamanoyawe kuanzia tarehe 25 au 26, tarehe 29 inafika Kuna vumbi tu hakuna mwenye hamu ya kupiga kura. Ila hiyo 29 hakuna maandamano
Hata wewe umeshiba ndio maana unapata nguvu ya kuandika mtandaoni. Bisha tuone😂Subiri utaona. Tatizo mlioshiba huwa mnadhani wote wameshiba.
Aliye organize maandamano tarehe 29 kafeli sana, ilitakiwa maandamanoyawe kuanzia tarehe 25 au 26, tarehe 29 inafika Kuna vumbi tu hakuna mwenye hamu ya kupiga kura. Ila hiyo 29 hakuna maandamano