M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Hapo alikuwa anawaelimisha, preaching is teaching.Sasa HAMUWEZI kuwavuta vijana Kwa style hyo.anatumia panic.kuliko kuelimisha.kula ubwabwa kupokea tshet ni uamuzi wa mtu .kama yeye hataki ni yeye asiwaseme wenzie
Kwani huyo jamaa ni CHADEMA or it's just your assumptions kuamini kila anayepinga ujinga ni CHADEMA.Sawa vipi hao vijana wameshamuelewa?.
Hivi unajua wale vijana wanaokwenda kujilipua Kwa kujitoa muhanga uwa wanaambiwa nini?
Hivi unaweza kumuita mtu foolish alafu umwambie akajitoe muhanga?kosa la kwanza la chadema hawawezi kushawishi agenda zao
mjingamimi sijakupata unamaanisha kuwavuta wapi kanisani?Sasa HAMUWEZI kuwavuta vijana Kwa style hyo.anatumia panic.kuliko kuelimisha.kula ubwabwa kupokea tshet ni uamuzi wa mtu .kama yeye hataki ni yeye asiwaseme wenzie
Kwani kula ubwabwa wa mgombea ni ujinga?Kwani huyo jamaa ni CHADEMA or it's just your assumptions kuamini kila anayepinga ujinga ni CHADEMA.
Siyo ujinga bali ni upumbavu.Kwani kula ubwabwa wa mgombea ni ujinga?
Kwani hapo amesema mambo ya kanisani?mjingamimi sijakupata unamaanisha kuwavuta wapi kanisani?
Ili wasiwe wapumbavu unataka wafanye nini?Siyo ujinga bali ni upumbavu.
Mungu halindi dhambi, labda useme majini yatamlinda.Viongozi wa kikristo wamedhamilia kweli Samia, hakuna hujuma za wazi kama uchaguzi wa 2019 na 2020 lakini wote hawa walikuwa kimyaaaaaa. Sasa hivi jinsi wanavyoongea utafikiri ndo yanatokea. Unafiki mbaya sana.........Mungu atamlinda Samia, hiyo ndo Imani yangu na yetu tusio na hila!!!
We ndo foolish ss ambae hujui kila kitu kinaanzia huko mwilini ni matokeo tu,pole sn😀
Yeye anasema vijana hawajitambui hawajui katiba yao na wanahongwa na wanasiasa kwa vitu cheap sasa wewe unasema siyo njia nzuri ya kuwavuta.Kwani hapo amesema mambo ya kanisani?
Hohohooo. Naona mmechanganyikiwa na kuweweseka na chuki na wivu mpaka mnashindwa hata kuja na uongo ulioenda shule kidogo. Ulikuwa na miaka mingapi 2019/2020?!!!!! Pumbavu kabisa. Samia amemuua nani, mumeo?!!!!Mungu halindi dhambi, labda useme majini yatamlinda.
Uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa mbaya, lakini haukufikia kiwango cha 2024 na 2025.
Uchaguzi wa 2019 na 2029, yule alipora tu kura, lakini huyu mpaka ameua wagombea (2024, kuoitia mkwe wake aliua wagombea wa CHADEMA), na kumfunga mpinzani wake (Magufuli hakumfunga Lisu kama alivyofanya huyu mtu). Huyu ni shetani wa kiwango cha pekee kabisa.
Ili vijana waonekane wanajitambua wanatakiwa Wadai nini Kwa serikali?Yeye anasema vijana hawajitambui hawajui katiba yao na wanahongwa na wanasiasa kwa vitu cheap sasa wewe unasema siyo njia nzuri ya kuwavuta.
Kwani yeye anawavuta kuwavuta kwenda wapi
Kuna kitu kinaitwa commonsensical au tuseme sound judgement, pale amewapa somo ili waache kuwa wapumbavu and rightly so it's his duty to educate them. Haiwezekani mtu anakula mavi niseme let him be kwa kuwa ameamua kula mavi when I have the obligation and responsibility kumtoa kwenye huo upumbavu.Ili wasiwe wapumbavu unataka wafanye nini?
Maana nchi hii ni ya vyama vingi na Kila mtu anachagua chama anachotaka.mtu kaenda Kwa mgombea wake.akapewa tshet na kanga akapikiwa na ubwabwa kosa lake lipo wapi?
Huyo ni mfuasi wa hicho chama
Kwani kuwa mfuasi wa mgombea wa ccm ni upumbavu.Kuna kitu kinaitwa commonsensical au tuseme sound judgement, pale amewapa somo ili waache kuwa wapumbavu and rightly so it's his duty to educate them. Haiwezekani mtu anakula mavi niseme let him be kwa kuwa ameamua kula mavi when I have the obligation and responsibility kumtoa kwenye huo upumbavu.
Kawapa elimu simple kwamba wawe wanatumia common sense, hapo hakutaja chama chochote ila kwa kuwa umetumia common sense mwenyewe umefikia conclusion ya kuwa mfuasi au mgombea it's ikawa ni upumbavu.Kwani kuwa mfuasi wa mgombea wa ccm ni upumbavu.