Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

Mbona unapotosha mada we kima?!!!!! Sawa, hebu taja walioondoka kwa utata 2016-2020 na tuonyeshe matusi na jitihada zenu zisizokomacza kumtoa aliyekuwa madarakani kipindi hicho.
 
Ili taifa likombolewe lazima zipigwe , na kafara ya damu imwagike mwisho wa siku itakuwa ni heshima heshima tu, vinginevyo tutaendelea ku husle hard
 
Kwa matusi haya ya mchungaji, hakianani 29/10 ifike haraka. Kuna matarajio mawili tu: ama tupotee au Samia apotee.
Aliye organize maandamano tarehe 29 kafeli sana, ilitakiwa maandamanoyawe kuanzia tarehe 25 au 26, tarehe 29 inafika Kuna vumbi tu hakuna mwenye hamu ya kupiga kura. Ila hiyo 29 hakuna maandamano
 
Subiri utaona. Tatizo mlioshiba huwa mnadhani wote wameshiba.
 
Aliye organize maandamano tarehe 29 kafeli sana, ilitakiwa maandamanoyawe kuanzia tarehe 25 au 26, tarehe 29 inafika Kuna vumbi tu hakuna mwenye hamu ya kupiga kura. Ila hiyo 29 hakuna maandamano

Nakazia wazo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…