Hata huku bunju umekatika toka usku hadi sasa hivi
 
hakuna mgao,
ni hitilafu ya kawaida katika grid ya Taifa, na tatizo linahughulikiwa kwa nguvu zote na muda usio kua mrefu hali itarejea itarejea na kua kama kawaida πŸ’

kua mustahimilivu kua na subra πŸ’
 
Attachments

  • IMG-20240401-WA0005.jpg
    68.8 KB · Views: 3
hakuna mgao,
ni hitilafu ya kawaida katika grid ya Taifa, na tatizo linahughulikiwa kwa nguvu zote na muda usio kua mrefu hali itarejea itarejea na kua kama kawaida πŸ’

kua mustahimilivu kua na subra πŸ’
hitilafu gan hii ya kila wiki ..kipindi cha jiwe hitilafu za mara kwa mara zilikuwa znamwogopa au
 
hitilafu gan hii ya kila wiki ..kipindi cha jiwe hitilafu za mara kwa mara zilikuwa znamwogopa au
kila wiki wapi tena ndugu mwananchi? πŸ’

usipotosha umma bana, sio vizuri πŸ’
 
hakuna mgao,
ni hitilafu ya kawaida katika grid ya Taifa, na tatizo linahughulikiwa kwa nguvu zote na muda usio kua mrefu hali itarejea itarejea na kua kama kawaida πŸ’

kua mustahimilivu kua na subra πŸ’
Somo la ustahimilivu naamini likishindanishwa duniani, Watanzania tutaongoza kwa A+ tena ya 99.99
 
Hii ndo shida ya kuzidisha siasa kwenye vitu vya msingi,na matokeo yake yanajulikana ni mambo kwenda mkombo kupitiliza
 
...
 
Attachments

  • 38ce94f369284804a9509ccfa3fb09e2.jpg
    63.1 KB · Views: 3
Mama wa, kizimkazi yupo bize kuteua na kutengua, upande mmoja anaongea kuhusu Malidhiano ya kisiasa, upande wa, pili, wale majambazi walioumiza wapinzani, wanapewa, nyadhifa seeikalini! Crazy!!!!
Wanasiasa, huwa, na, agenda ya, Siri, their political agenda, precede public opinions,
Kule kwa, Biden, serikali inasema Israel imeua watu wengi, Sana na sasa, ni wokati wa, kusitisha Vita Gaza, lakini Biden Ana uchaguzi, November, asipoisupport Israel, inaweza ikamkosesha kuchaguliwa, katuma shehena nyingine ya siraha Kali, zipo, na bunker blasters!!!! Ni kama mchezo wa kuigiza vile, huku unasema huyu Israel kaua watu Sana Gaza, asitishe Vita, upande wa pili, unampa siraha nzito nyingi! Akafanyie nini sasa, mapambo!!
USA hayupo tayari kuona Hamas inarudi Gaza, ushindi wa Israel ni muhimu ili kuidhibiti Iran,
Na huku kwetu, richa ya kuwa Makonda ni jambazi, Ila samia anamuhitaji politcaly,kwanza ni kutoka jamii ya wasukuma, kwa kanda ya, ziwa,ni potential voting block, lazima ailinde, iwe upande wake, Doti biteko, na Makonda ni strategy.
 
Somo la ustahimilivu naamini likishindanishwa duniani, Watanzania tutaongoza kwa A+ tena ya 99.99
hata hivyo ni vizuri zaidi hata kupata zaidi ya hiyo πŸ’

ustahimilivu ni jambo muhimu sana popote inasaidia kuepusha uharibifu mwingi πŸ’
 
Mbona huku tunaona ni kawaida yetu waseme au wasiseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…