Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nishasema kule juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtakatifu Anne sio kawaida yako kabisa, yaani nimeshangaa mpaka dakika hii haujazungumzia chochote kuhusu Darwin Nunez.
" You will never walk alone, Nunes will escort you out of Champions League"
Jogoo alikula mchele mchana, kaliwa na wali usiku[emoji23][emoji23][emoji23]
Timu inaenda penati na golikipa pazia wa penati kama Allison,
Afu mpiga penati ni Nuniez Mzee wa kukosa
Inategemea nini hapo?
Mnacheza penati na golikipa asiyeweza kudaka penati hata Moja..
Timu pinzani, kipa anadaka goli 2.
Bomu zaidi, Mpigaji wenu ndio huyo Nunez
Mara mia apige hata vvd au beki yeyote ila siyo
Nunez.
Nunez siyo kosa lake
Kosa ni la mtu aliyempanga kupiga.