Sasa km ana watongoza na wao wanakubali kwa ridhaa yao, tatizo liko wapiii? Sioni km ni kumlewesha ila ninachokiona ni walikua wanalewa wote,
Ktk maelezo inasemekana hao watu walikua na ukaribu tangu mda, na hilo tukio limetokea nyumbani kwa mlawitiwa, hebu fikiri upyaa kwan hapo? Umri wa hao wahusika umeuona? Hata mazingira ya tukio umetafakari?
Hao wahusika ni wapenzii, tena ukute had kaka wa mlawitiwa anajua hilo, ila kuna ukwamo wa maslahi ndo wakaamua kumgeuka huyo hakimu.
Huku mtaani kuna mashoga had wamepangiwa appartment na kufanywa nyumba ndogo, kuna wengne wanaishi pa1 bila hata shida, na watu wanajua. Kuna kisa fulani kilitokea mwaka jana sept sikutaka kuleta humu, maana huwa wana ni attack sana, bas kwa kukusaidia yaliyo mtaani kuhusu ushoga ni tofauti na mnavyo jadili hapa mtandaoni.
Shida kuu ni UNAFIKII.