Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Asee wachaga hizi tabia mmetoa wapi...,, tulijua ni mambo ya pwani tu....... Ila dah miaka 29 unavuliwa vyeo kisa bia........ Na mangi kasimamisha kabisa kwa tako la mwanaume mwenzie dah ni shida
Nenda Moshi uone vijana wa Kichaga wanavyolawitiwa

Ni AIBU sikuhizi
 
Mchogo huo Hakim mwenzake na polisi walifikaje haraka ivo wakati kutoa tu taarifa polisi mpaka waje kwenye tukio ni kesho na hela umetoa imekuaje Hawa wakafika mapema ivo?
Kwa Tz hili linawezekana! Maana nchi yetu hujui lipi ni kweli, uongo kila nyanja!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mamlaka zinazo ajira haswa kwa nafasi nyeti kama za Mahakimu au Majaji lazima ziwe makini kujua mwenendo wa mtu na tabia yake kabla ya kuajiriwa.
Hii ni hatari kubwa sana kwani inawezekana tumeajiri Walawiti, malaya, makahaba, mdio maana utakuta wananyoga haki za watu bila kujali.
 
Hawa watu wa chama tawala wamechanganyikiwa.

Kumbe ndio mambo yao.
Anyways hakuna Kesi hapo. Imeisha hiyo.
Hakuna kesi kwamba Hakimu Ngowi ataachiwa bila kushitakiwa?
Kwamba mfumo wa Haki Jinai umekufa kabisa?
Wanyonge wafanyeje sasa kama Mtetezi wao aliondoka mapema?
 
Leo mnawakana, ila wangeitwa Juma mngeusakama uislam, tunawajua nyie
We unawashwa wewe, wewe ndio wale mnaamka asubuhi mnatafuta bando la kumsifia mama na kumtakia birthday njema wakati Mma Yako mzazi hujawahi kum-wish hata siku moja.
Umemuweka Samia kwenye DP wakati ama yako amepauka kijijini hata mafuta ya nazi ya buku hujawahi kumnunulia.
 
Unawaza kama mimi, atakuwa ametaua marinda ya wengi sana, Alihamishwa Karagwe na kuletwa Arusha kwa skendo hizo hizo sema Judiciary ilikuwa inamlinda sana.
Huwa ana walawiti pasipo ridhaa ya wahusika, au huwa anawatongoza km afanyavyo kwa wanawake? Naomba kujibiwa?
 
WANAO BAKWA NI WACHACHE, MTU ANATONGOZWA, ANANUNULIWA POMBE ANATOA TIGO.

Unataka kuhalalisha kwakuwa kulikuwa na ridhaa? Huoni kwamba jamaa alimlewesha kwanza ndio akamla alafu akamuagizia chips?
 
Sasa km ana watongoza na wao wanakubali kwa ridhaa yao, tatizo liko wapiii? Sioni km ni kumlewesha ila ninachokiona ni walikua wanalewa wote,

Ktk maelezo inasemekana hao watu walikua na ukaribu tangu mda, na hilo tukio limetokea nyumbani kwa mlawitiwa, hebu fikiri upyaa kwan hapo? Umri wa hao wahusika umeuona? Hata mazingira ya tukio umetafakari?

Hao wahusika ni wapenzii, tena ukute had kaka wa mlawitiwa anajua hilo, ila kuna ukwamo wa maslahi ndo wakaamua kumgeuka huyo hakimu.

Huku mtaani kuna mashoga had wamepangiwa appartment na kufanywa nyumba ndogo, kuna wengne wanaishi pa1 bila hata shida, na watu wanajua. Kuna kisa fulani kilitokea mwaka jana sept sikutaka kuleta humu, maana huwa wana ni attack sana, bas kwa kukusaidia yaliyo mtaani kuhusu ushoga ni tofauti na mnavyo jadili hapa mtandaoni.

Shida kuu ni UNAFIKII.
 
Haijalishi amelewa ama hajalewa.
Amenyweshwa ama la !

Ku-fanyanana kinyume cha maumbile, yaani ume na sehemu ya haja kubwa nin kosa la jinai na lina adhabu kubwa.
Sasa wewe unaleta ujuaji wa kwamba aliridhia? acha ujinga wa ki-toto!

Ina maana binti yako wa mdogo wa Sekondari akipata libaba kama Mwijaku ama diamond akanunuliwa simu akaenda kupigwa mashine utasema kama ameridhia ni sawa?
 
Sasa km ana watongoza na wao wanakubali kwa ridhaa yao, tatizo liko wapiii? Sioni km ni kumlewesha ila ninachokiona ni walikua wanalewa wote,

Ktk maelezo inasemekana hao watu walikua na ukaribu tangu mda, na hilo tukio limetokea nyumbani kwa mlawitiwa, hebu fikiri upyaa kwan hapo? Umri wa hao wahusika umeuona? Hata mazingira ya tukio umetafakari?

Hao wahusika ni wapenzii, tena ukute had kaka wa mlawitiwa anajua hilo, ila kuna ukwamo wa maslahi ndo wakaamua kumgeuka huyo hakimu.

Huku mtaani kuna mashoga had wamepangiwa appartment na kufanywa nyumba ndogo, kuna wengne wanaishi pa1 bila hata shida, na watu wanajua. Kuna kisa fulani kilitokea mwaka jana sept sikutaka kuleta humu, maana huwa wana ni attack sana, bas kwa kukusaidia yaliyo mtaani kuhusu ushoga ni tofauti na mnavyo jadili hapa mtandaoni.

Shida kuu ni UNAFIKII.
Watu wanajua = Unataka Mahakama ianze kuzunguka kwenye nyumba kukagua makalio yenu?

Kuna nchi duniani hata moja tutajie ambayo Mahakama inazunguka kutafuta waalifu!
Hao wa huko mtaani si ndio hao hao mnawatumia kwenye kampeni? Watakamatawaje?
Hao wanaorekodi video za uchi si ndio hao hao mnawatumia kwenye KIDUMU?
 
Back
Top Bottom