Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

Hii story itamfunga mke moja kwa moja! Connection ya marehemu na chumba cha mpangaji ikoje?
 
Hii story itamfunga mke moja kwa moja! Connection ya marehemu na chumba cha mpangaji ikoje?

Yaani kama ni kujikanyaga mwanamke kajikanyaga kweli.
Kwanza huko kuombwa khanga tu, yaani unaombwa khanga saa 11 lakini unakuja kushtuka saa 1 na robo. Yaani mume akae bafuni masaa mawili hushtuki!!!

Hapo kwenye chumba cha mpangaji ndo funga kazi. Mke na mpangaji waisaidie polisi.
 
Mmh...

Watubu kina Nani?!


DON...
 
Hahahah yani mume anaoga mke alale fofofo mume harudi chumbani masaa mawili ina maana hawa wawili hawakuwa na maelewano kabisa😅
 
Kuna akili inanambia marehemu alinyongwa.

Huenda karudi usiku wa manane,
Kamfumania mkewe anagongwa chumba Cha mpangaji.

Katika purukushani mfumaniaji kauwawa.

Kuua Soo ikabidi yatengenezwe mazingira ya fasta ionekane kajinyonga mle mle ndani.

STAGED CRIME SCENE[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazi kabisa hii ina make sense
 
Saizi watu wengi wana stress sana,maisha yamechange mno
 
Wazi kabisa hii ina make sense
Kabisa mkuu,
Afu hata mwili uchunguzwe, wajue marehemu alirud saa ngapi, nn kiliendelea baada ya kurud
Kuna mahusiano gan Kat ya MKE na mpangaji, marehemu na mkewe maelewano yao ndani yakoje.

Kwa uzoefu,
Mtu akiwa tungi Sana, akipigwa pigo moja zuri anapitiliza mazima.


Pia Kuna suala la kuumwa tumbo,
Huenda pia akawa poisoned Kisha akaenda kutundikwa.

Wanawake wakishaanza kuchepuka wanakuaga na roho za kikatili Sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hapo ndipo mtego ulipo, huenda alim poison kisha midnight akamtonya hawara wake atimbe akamtundike kwenye chumba cha mpangaji kisha azuge kama ameamka alfajiri kwenda kuoga ndipo akajinyonga. Women are so evil nataman ningepata muendelezo wa hii kesi.

Yani possibility ya marehem na mke kuwa hawakuwa in good terms ni kubwa sana na kwa namna story alivyoitoa mke wa marehem ni kama alikuwa anajua plan nzima.

Kisha kuandika hiko kijikaratasi cha uongo na kweli kama zuga zuga entertainment😂
 
Purukushani za hadi kumnyonga mtu ambaye yupo sober zitasikiwa na majirani hence itatengeneza mashahidi.

I doubt this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…