Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

Ujinga mtupu!!
 
Tunazungumzia ukabila wewe unaandika auditing! CAG anakagua ukabila na upendeleo?
sijakujib ww. ila nimemjibu mtoa mada alie dai wachaga wanawekwa mahali ili wapige pesa. lakin mm nimpa mfano wa shirika na wachaga wenye clean records.
 
Acha ujinga sabaya hajatendea haki na amevunja Sheria, toka lini kuvunja sheria kukahusika na kabila, no one is above the law, yoyote anayeharibu sheria afikishwe kwenye vyombo vya sheria
Aaah! Uko chini ya kiwango cha mjadala huu.
 
sijakujib ww. ila nimemjibu mtoa mada alie dai wachaga wanawekwa mahali ili wapige pesa. lakin mm nimpa mfano wa shirika na wachaga wenye clean records.
No! Soma tena uone jawabu lako liko kwenye hoja gani. Siyo hayo uliyoandika.
 
Akili Mingi so watawala wajinga hawawakubali mambo kama hayo nafanyie Songea huko ambako kwao ccm wanaona kama mungu
Nakuona kama Bwege! Yaani una maana Songea ndo unaamini ni wajinga? Moshi kuipenda CHADEMA ndo ujanja? Ukabila tu. Kwa akili hii, utasubili miaka kuifanya CHADEMA itawale nchi hii. Almost 30 years bado munahangaika na ukabila ndani ya chama. Ingekuwa ni TANU ya mwaka 1954, huu ni mwaka 1974, tayari ni chama cha kitaifa.
 
Pamoja na kwamba utatukanwa lakini hiyo hali ndiyo hasa inatawala katika maeneo mengi hata makazini, wana Permanent ajenda ya kuwashambulia, kuwaangusha wale wasiokuwa wa kwao. Hii ipo kabisa si wote, lkn wengi wanafanya hivyo waziwazi.

Kuna kiongozi mmoja (Nafikiri anaitwa Songambele ama jina kama hilo, alikuwa Mkuu wa Mkoa) alikuwa huko enzi za nyerere nilimwona kwenye Documentary fulani akisema wanakuletea ZAWADI halafu unapigwa picha na kupelekwa mbele eti umepokea RUSHWA, lengo ni kukuangusha. Hivyo uwe makini si huko tu sasa hata wakiwa nje ya huko wanaunda alliance ya kuangusha wasiotoka kwao. POVU RUKSA​
 
Ni majungu na ujuaji mwingi umewajaa.
Hizo area ni special kweli, mila desturi tamia tamaduni hata life style ya mikoa hiyo ni tofauti kabisa na mikoa mingine hawana ubaya na mtu asiye na ubaya nao ila ukileta za kuleta hakuna rangi utaacha kuona kule kunaitwa punda afe mzigo wa bwana ufike hata kama jembe ni butu watu wanalima. Ndiyo maana hata magufuli alikuwa anapaangalia kwa mtindo fulani yani mtu akipalangana na upinzani kanza hizo anapandishwa cheo. Si umeona sabaya halafu si uliona yule mama magufuli alimpiga pini kutoka ACT ili awakoroge upinzani gambo akaletana mbio na lema akawa mkuubwa mkoa sasa unadhani raia hawaoni kule ukienda nenda na heshima zako hakuna mtu ana wenge na mtu hadi ulianzishe
 
Mbona hawajamlalamikia mama Mghwira? Mbona hawajamlalamikia RC Kimanta ambaye amestaafu?
 
Usiseme huko, sema hapo uchagani. Wachaga wanawaimngiza watu wa Arusha ili kuongeza kelele tu! Imekuwa ni rahisi kuwa na Mbunge mchaga Arusha, lakini mtu wa Arusha hawezi hata kupewa udiwani wilaya yoyote ya wachaga. Tulieni peke yenu na kibano kitawakomesha tu!
 
Chasaka umepaniki! Kwani uongo? Kabila zingine Tena zile ambazo atleast zimeadvance km Nyakyusa,Haya bado wakifika uchagani wanakiri mchaga amesonga mbele! Kubali tu wala huugui!
 
Wachagga ni wabinafsi, MKE WANGU NI MCHAGGA HUWA NAONA ELEMENT ZA KIPUUZI SANA. KINACHOMSAIDIA NI KWAKUWA ALIBADILI DINI KUWA MUISLAM NDIO NAKOMAA NAE KIBISHI.
Ila akili zao wanazijua wenyewe.
Funguka kidogo ww chasaka! Au alitaka hela ya kutuma kwao ndiyo nongwa.Lazima awatunze wazazi wake.Nimewaza tu.
 
Wasichojua hawa chasaka ni kwamba unaweza kujivika uchaga na ukaenda nao sambamba.Badala ya kukaa pembeni na kusema wale wanafiki,wabaguzi, Freemason NK.

Ila ili uweze kufanya hivyo lazima nafsi yako ikiri kuwa hawa wamenizidi,nami napambana.

Usitake kujua mwenzako kafanikiwa kwa njia gani ,bali unatakiwa kuwa impressed na mafanikio yake tu na kutaka ufanane na yy kwa kuongeza juhudi kwa kile unachofanya.
 
Wasichojua hawa chasaka ni kwamba unaweza kujivika uchaga na ukaenda nao sambamba.Badala ya kukaa pembeni na kusema wale wanafiki,wabaguzi, Freemason NK.

Ila ili uweze kufanya hivyo lazima nafsi yako ikiri kuwa hawa wamenizidi,nami napambana.

Usitake kujua mwenzako kafanikiwa kwa njia gani ,bali unatakiwa kuwa impressed na mafanikio yake tu na kutaka ufanane na yy kwa kuongeza juhudi kwa kile unachofanya.

Mfano Fred Vunjabei ni MKINGA na mamb za wakinga unazijua,lkn hutakiwi kuwaza hayo,unatakiwa uvutiwe na mafanikio ya Vunjabei,usitake kujua hayo mengine.
 
Acha ujinga we , lifestyle ya uchagani ni sawa na kule kwenu porini na nyumba za tembe?

Hujatembea uchagani kidogo ni tofauti huwezi fananisha na singida,Namanyere,mahuta shimoni.

Hata Wahaya,Wanyakyusa wakifika uchagani wanakubali wamezidiwa.

Ukweli utabaki kuwa ukweli.Kama kwenu hakuna Maendeleo huwezi kuyaona au kuyajua maendeleo kwa sababu mentality yako ni ya umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…