Mbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.Hii sio dabo standard kweli
[emoji23][emoji1787]
 
Hakika Dunia ni ya Mungu tu,huyu mbwa na wapumbavu wenzake walidhani magereza ni sehemu ya kina Lema na wafuasi wa CHADEMA tu,ni kama Magufuli tu, alidhani kifo kinawastahili kina Ben Saanane na kina Azori Gwanda,angejua kuwa 2025 hafiki asingekuwa katili kwa wenzake shenz taipu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kusema mtetezi wa majambazi ndio,unaona baseman nisiyoyajua,waweza kuwa no mmoja wa mabounser wa kijana pendwa.
Ujambazi wake unatofauti gani na ule wa kina Singa singa waliotolewa juzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…