Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

Hili mbona Liko wazi.

Wanawake wanatamani sana wanaume.

Kuna wakati nawao wanamuona mwanaume Fulani ana thamani sana mpaka na wao wanamuogopa ..yaan Mwanaume akimtongoza mwanamke, mwanamke anakua nawasiwasi 'au ananijaribu...mbona yeye anafaaa Wanawake wazuri zaidi".


Kuna huyu alikuja kwangu kuniletea Kadi ya Mchango wa Harusi

Sasa nikimkaeibisha sebulen wakati huo nikiwa nanyoosha nguo zangu

Kumbe nayeye ananichora tuu 👇
 

Ni kweli kabisa Mkuu.

Wanawake hutamani na hukosa ujanja wakikutana na wanaume wenye sifa na mivuto Fulani. Mpaka wanasemaga hawa wanakuwaga na wanawake wengi
 
😀😀😀

Lakini najua ungeulizwa na mtu ungebisha na kusema wala huvutiwi naye wala hana la maana huyo mtoto wa Mamamkwe.

Wanawake mmebobea Kwenye unafiki
Mimi sinaga unafiki mpaka umri huu nilishawahi vituwa na wawili tu na mtu akiniuliza sipepesi macho masema direct. Ila sisemi kwa mhusika
 
Tatizo wanaume wengi wanafikiri wanawake sio binadamu hapo ndipo wanapokwama.
Kisa ninyi mmeumbwa ku-pretend Kama silaha ya Stara/kujistiri.

Wanawake niliowafanyia utafiti wengi walionyesha kutamani wanaume tena Ile tamaa ya ngono kabisa
Sio tamaa ya ngono unajua mvuto una vitu vingi, unakuta mkaka ananukia vizuri, smart, msafi, anajua kuvaa, anaongea vizuri urefu kapewa Etc na ile nyingine staki kusema mkaanza niandama na kunisingizia napenda pesa😅embu niishie hapa.
 
Mwanaume anapenda wali nazi maharage na mwanamke pia anapenda wali nazi maharage
 
Wenye pesa ulikumbuka kuandika
 
Kulia kwako yuko dereva Robert, nyuma yako konda mlangoni. Nyuma ya dereva niko mimi.
 
Pesa haimfanyi mwanamke akutamani.
Wapo washkaji zangu kibao wanapesa lakini wanawake hawana time nao.
Alafu siye tusio na lolote wanawake kwetu sio tatizo. Ni Kama kusukuma mlevi
Mhhhhhh uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…