Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Ndio au nmesema tofauti?
Upo sahihi.
Hata hivyo Sisi miili yetu haikuumbwa kuwafanya mtutamani.
Ni hao wanaume wachache ndio wameumbwa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio au nmesema tofauti?
Upo sahihi.Upo sahihi.
Hata hivyo Sisi miili yetu haikuumbwa kuwafanya mtutamani.
Ni hao wanaume wachache ndio wameumbwa hivyo
Hili mbona Liko wazi.
Wanawake wanatamani sana wanaume.
Kuna wakati nawao wanamuona mwanaume Fulani ana thamani sana mpaka na wao wanamuogopa ..yaan Mwanaume akimtongoza mwanamke, mwanamke anakua nawasiwasi 'au ananijaribu...mbona yeye anafaaa Wanawake wazuri zaidi".
Kuna huyu alikuja kwangu kuniletea Kadi ya Mchango wa Harusi
Sasa nikimkaeibisha sebulen wakati huo nikiwa nanyoosha nguo zangu
Kumbe nayeye ananichora tuu 👇
View attachment 2370755
Tunatamani ndio ila sio kwa kiwango chenu wanaume.
Utasikia anakuuliza "Yaan wewe jinsi ulivyo hivo kweli Hauna mwanamke ?"Ni kweli kabisa Mkuu.
Wanawake hutamani na hukosa ujanja wakikutana na wanaume wenye sifa na mivuto Fulani. Mpaka wanasemaga hawa wanakuwaga na wanawake wengi
🤣Nitamani tafadhali[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi sinaga unafiki mpaka umri huu nilishawahi vituwa na wawili tu na mtu akiniuliza sipepesi macho masema direct. Ila sisemi kwa mhusika😀😀😀
Lakini najua ungeulizwa na mtu ungebisha na kusema wala huvutiwi naye wala hana la maana huyo mtoto wa Mamamkwe.
Wanawake mmebobea Kwenye unafiki
Vipi mlikulana?Mimi sinaga unafiki mpaka umri huu nilishawahi vituwa na wawili tu na mtu akiniuliza sipepesi macho masema direct.
Sio tamaa ya ngono unajua mvuto una vitu vingi, unakuta mkaka ananukia vizuri, smart, msafi, anajua kuvaa, anaongea vizuri urefu kapewa Etc na ile nyingine staki kusema mkaanza niandama na kunisingizia napenda pesa😅embu niishie hapa.Tatizo wanaume wengi wanafikiri wanawake sio binadamu hapo ndipo wanapokwama.
Kisa ninyi mmeumbwa ku-pretend Kama silaha ya Stara/kujistiri.
Wanawake niliowafanyia utafiti wengi walionyesha kutamani wanaume tena Ile tamaa ya ngono kabisa
Vipi mlikulana?
Sasa jamani y supress ur sexual desiresYesuuu mtu kukutana nae kikazi mara moja ndo kufika huko kote, kwendraaaaa siko cheap kiqsi hicho.
Kaliwa huyo anaigiza tu hapo.Sasa jamani y supress ur sexual desires
Wenye pesa ulikumbuka kuandikaKwema Wakuu!
Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume?
Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%.
Ikiwa mwanamke ni Binadamu Kama wewe basi jibu la swali hilo ni ndio, Wanawake wanatamani tena sio kidogo, wanatamani Kama ilivyo Kwa Wanaume.
Hivyo weka akilini kuwa kama wewe jinsi ukipita ukimuona Mdada mrembo ukamtamani, basi ndivyo hivyohivyo wanawake wakikutana na wanaume wazuri/handsome boy njiani huwatamani tena sio kidogo.
Wanawake wanatamani
i. Wanaume wazuri wa Sura
ii. Wenye ndevu zilizochongwa vizuri iwe za mashavuni au kidevuni na walionyoa minyoo mizuri kichwani ya kuvutia. Sio unyoe kama mwanafunzi
iii.wanaume warefu kiasi
Iv. Wanaume wenye vifua vilivyopangika, kisiwe kikubwa Sana.
v. Wenye sauti nzito wanaojua kuipangilia
vi. Wanaume watanashati , wasafi na mavazi mazuri.
Vii. Wanawake wanatamani wanaume wacheshi lakini wasio na mazoea ya hovyo na wanawake.
Yaani uwe na ukauzu flani lakini usizidishe.
Sio umekutana naye tuu unaanza shobo au unarusharusha macho kuangalia warembo wengine.
VIII. Wanawake wanatamani mpaka wengine kulowanisha chupi wakiona sehemu ya flaizi/zipu ya suruali ya mwanaume ikiwa imetuna na uume kujichora.
Zingatia wanawake hata kama hawatakuambia lakini wanapenda Mashine kubwa ikipungua iwe saizi ya Kati.
Ix. Wanawake wanatamani wanaume wenye pesa lakini sio kingono kama Mwanaume huyo Hana mvuto, uwe na kigari, sehemu nzuri ya kuishi, unajipenda au unamaisha Fulani ya ubizebize.
Wanawake ni ngumu kutamani mwanaume ambaye amekaa kijiweni.
Wanakasumba mbaya na wanaume wa vijiweni.
Labda awe anakujua, lakini ni ngumu Sana utokee kijiweni umsimamishe pisikali ikakubali.
Jambo moja unalopaswa ulielewe kuhusu Wanawake ni viumbe walioumbwa kujificha, stara, wao ni aibu na kujidhalilisha kuonyesha tamaa Yao waziwazi.
Zingatia pia Wanawake hupoteza kujiamini moja Kwa moja wanapokutana na wanaume wa Aina mbili;
1. mwanaume Mzuri
2. Mwanaume mwenye Pesa
Kikawaida mwanamke huwa submissive Kwa hizo chata mbili. Yaani hujiona Duni.
Achana na hawa vijana wa Sinza wanaojifanya wazuri, kuna kujifanya mzuri na kuwa mzuri.
Wanawake wanaelewa nazungumzia nini.
Jambo moja ambalo linafanya ionekane Wanawake hawatamani ni kutokana na kuwa Wanaume wazuri ni wachache Sana katika mzungu wetu.
Wengi wetu tuna Sura ngumu na hatujakidhi vigezo vya kuwatamanisha wanawake.
Mifano ya kwenye Biblia ya wanawake waliotamani wanaume, tunaiona Kwa Mke wa Potifa na Handsome boy Aitwaye YUSUFU.
Watu wa mitindo na fasheni wanajua saikolojia ya binadamu. Sio ajabu hata nguo nyingi za siku hizi za vijana zinadizainiwa mahususi kuwatamanisha kinadada.
Mathalani zile suruali kama za mazoezi, vibukta au Baadhi ya flana ambazo ni nyepesi mahususi kuvaa Kwa wanaume wanaofanya Gym.
Pia watu wa Gym wanajua ni mazoezi gani mwanaume akifanya anakuwa na mwili WA kutamanisha wadada.
Pia watengeneza Mafuta na marashi hujua ni mchanganyiko gani wa Kemikali wakiutumia kutengenezea baadhi ya perfumes zinawafanya wanawake wajikute kwenye tamaa.
Yaani mtoto wa kike akikaa karibu yako akihisi harufu ya marashi moja Kwa moja homoni na ashki ya ngono zinapanda.
Note: mwanaume haupaswi kutaka au kutamani kutamaniwa na wanawake Kwa mambo yasiyo ya kiume.
Fanya kazi.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wenye pesa ulikumbuka kuandika
Mhhhhhh uongoPesa haimfanyi mwanamke akutamani.
Wapo washkaji zangu kibao wanapesa lakini wanawake hawana time nao.
Alafu siye tusio na lolote wanawake kwetu sio tatizo. Ni Kama kusukuma mlevi
Mhhhhhh uongo