Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

Kaiba simu ya mwanamke, manjagu wenzie waitwa saa tisa usiku ila wakafika baadaye sana na mwisho alikuwa anatoroka na chips🤣
Comment kama hizi nawezaje kuzisevu kwenye galary ili niwe naziona kiurahisi na kuangua vicheko napokuwa nimebanwa na stress zangu?
 
Labda askari alikuwa kwenye njia za kikachero za kukusanya taarifa. Tusimlaumu. Wapelelezi wanafanya mambo mengi kukamilisha upelelezi wao. Mimi binafsi silaumu kitu hapo. Kwasababu siijui full story
 
Taarifa hii inaoneka KAMA imeongezwa chumvi.
Haiwezekani afande atoroke na simu ya mwanamke na zege kwenye begi.

me si shangai saana, sababu ilishaandikwa "aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo la kuiangamiza nafsi yake"

kama lisinge mpata hili,lingempata jingine.

Hata wewe unayesoma ujumbe huu mwenye mpango wa kwenda kuzini leo,kumbuka hilo.

haijawahi kukupa changamoto huko nyuma sababu zamani zile za ujinga Mungu alijafanya kama haoni,hivyo uliepushwa na aibu

Unaweza ukaenda kufa humo ndani au huyo mwanamke akafa humo ndani.Fikiri kitakachofuata baadaye.
 
Marehemu Stewart atakuwa wa Katerero huyu. Ukahaba mwingine hatari sana!
 
Mimi naendelea na msemo wangu wa siku zote hpa JF

#Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama#

Wazinzi waendelee kufa tu maana hawana faida kwenye jamii
Zidi kumuomba Mungu mkuu.
Hatupendi kuwa wazinzi Ila tunajikuta tu tunazini.
 
Bora wewe umeamua kutumia akili kidogo, na bado hii taarifa ni ya upande mmoja.
 
Reactions: tyc
Kakimbia bill, kaiba simu ya demu na chips yai. Maisha haya.
 
Labda askari alikuwa kwenye njia za kikachero za kukusanya taarifa. Tusimlaumu. Wapelelezi wanafanya mambo mengi kukamilisha upelelezi wao. Mimi binafsi silaumu kitu hapo. Kwasababu siijui full story
Na kiporo cha chipsi kusema 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zidi kumuomba Mungu mkuu.
Hatupendi kuwa wazinzi Ila tunajikuta tu tunazini.
Nazidi kumuomba Mungu sana tu

Ila sio mnajikuta tatizo mnaendekeza sana hisia zenu ziwaendeshee maisha na mnamuacha Mungu

Kwani unadhani wasiozini hawana hamu? Ila ni kule kumuogopa Mungu na kumfuata


Dah we acha tu shetani ana nguvu sanaa ila tujaribu kumshinda shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…