Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

Dah [emoji26][emoji22]Razak namfahamu sana. Board Room ndio kiwanja changu na huwa naenda kucheza sana Pool [emoji463] pale. Razak pia mara ya mwisho kumuona ni wakati wa kupaki gari pale. Dogo alipenda sana kazi yake hasa kusimamia na kulinda magari yanayo egeshwa. Usiku wa tarehe 28 kuamkia 29 nilikuwa pale mpaka saa 3 usiku nikaondoka. R.I.P Razak
 
Unaua binadamu mwenzio kisa ugomvi wa bar muwe mnajichanganya vijiweni humo kupata experience ya maisha na utani juu jichanganye kwenye draft, bau au kijiwe cha kawaha uwe unapiga story mbili tatu na wazala wengi wanaotaka kutumia ofisi mtaani ni wale wa shule kozi mshahara usipojichanganya na watu utakuja kufanya vitu vya ajabu sana...
 
Polis Hawa Hawa mbon kuna mwana ni polisi anajiproud mbali na mshahara ana Hela ya lindo za bank na hulinda mwezi mzima Kwa hio SS tunajua Wana good life

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Haya ndiyo madhara ya kuajiri failures kwenye majeshi yetu. Haya majitu muda mwingi yanawaza kutumia nguvu tu kuliko akili.

Yaone yasivyo na akili kichwani! Mtu analipa kodi, anafanya biashara yake halali! Yanaenda kumfanyia vurugu mpaka kudababisha mauji ya mlinzi!! Hovyo kabisa.
 
Naiomba Serikali ibadilishe vigezo vya mtu kwenda kupata mafunzo ya kuwa Askari Polisi.
 
Ninae mshikaji wangu kbs,
Alikuwa njagu, akajiendeleza now yupo sehemu nyingine nzuri tu shida ni moja kuna vitabia vya kiupolisi huwa haviishi hata wasome vip mfano kupenda kitonga, enforcement kwa vitu vinavyohitaji akili na busara pia. Yaani wanajikutaga km watu walio na exceptional hv!
 
Na kuna mshkaj nilimskia akilalamika kabisa anajuta kua polisi na yy ana degree yak huko mpk sasa ni constable na mshahara anasem hauongezeki kwa hio anafany means za kutok huko anatak aombe Kaz ktk taasis flani huko anasem hakumfai kabisa

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Askari polisi wanatajwa kuwa ndiyo kada yenye akili ndogo kuliko hata mgambo
[emoji3482][emoji3482][emoji3482][emoji117][emoji117][emoji117][emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834]
Wakikusikia...
 
Pole sana

Ova
 
Huu ni muendelezo wa ubwege nataka munijibu

1. Je mtu anayedaiwa kujiuza alitaka kujiuza kwa nani ?

2.Hiyo complaint waliipata lini na jalada la uchunguzi lilifunguliwa lini?

3.Je hiyo Bar si ina Meneja? Hiyo si biashara ya Mtu? Je mulizungumza na muajiri wa huyo anaye jiuza?

4.Huyo mteja aliyetaja kuuziwa yuko wapi? Au ndio huyo Mlinzi binafsi muliyemuuwa

5.Je mulikuwa na Uongozi wa Serikali ya Mtaa ? Na huo upuuzi unao onekana kwenye video ndiyo taratibu za ukamataji?

Hakuna aliyesalama TUDAI KATIBA MPYA

1.Wafanyakazi Kikokotoo
2.Walevi risasi na kifo
3.wakosoaji bambika kesi weka mahabusu
 
Unaenda baa kukamata wanaojiuza! Unajuaje MTU anayejiuza? Amejiwekea, price tag!
Akili, za askali, wa bongo ni zaidi ya vichaa wa milembe, hapo njaa ziliwauma, wakaona waende kulazimisha kupata pesa,
 
VIMEUMANA kwa asili, Polisi ni mtoa AMRI mafundisho yake yote ni AMRI tu!!

RAIA huona raha sana pale ANAPOPEWA AMRI halafu yy AKAIBISHIA na askari AKINYWEA raia husikia raha sana.

Sasa VIKIUMANA matokeo yake ndo huwa HAYA.

Maana utakuta kidume mtaani kinatamba kabisa mm SIMUOGOPI ASKARI ni kweli hakuna sababu ya kumuogopa askari !! Lkn je unasema hivyo kwa sababu gani?

Jamii IWADHARAU ASKARI, ?
Jamii ikuone ww MTEMI ?

SASA ndo maana ya VIMEUMANA wamekosea / wamepatia UNAWABISHIA wameshika mpini , MATOKEO yake ni nini?
 
Polisi wao ndio wamekuwa Mahakama na wanatoa hukumu ya kifo kwa mtuhumiwa.
 
IGP Wambura ajitahidi tu kutenga Bajeti kuwezesha polisi wake wapate counselling. Mental health imewatawala walio wengi, Watamaliza Raia wema!
counsellinv bila malipo ya kueleweka ni kelele tu kama za mbu.

serikali na hata huyo wambura wanajua sana tatizo lilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…