Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndiyo madhara ya kuajiri failures kwenye majeshi yetu. Haya majitu muda mwingi yanawaza kutumia nguvu tu kuliko akili.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza Dar es salaam ambaye baaade alipoteza maisha.
Jeshi la Polisi tayari limewakamata askari hao na mambo ya kisheria yanakamilishwa na watachukuliwa hatua za kisheria haraka Kadri iwezekanavyo kwa kufuata mifumo ya kisheria kiwa ni pamoja na kuwafikisha mahakamani
Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospital ya Rufaa Mwananyamala kukamilisha uchunguzi.
View attachment 2828811
View attachment 2828814
Video hizi zifuatazo chini zinaonesha namna hali ilivyokuwa kabla ya tukio la Askari kufyatua risasi
View attachment 2828866
View attachment 2828868
View attachment 2828869
Ninae mshikaji wangu kbs,Ni kweli na yeye aliingia akiwa na elimu ya form six akajiongeza akapiga degree ya Law kwa kujisomesha sasa hivi anapiga law school ila anahangaika sana aache kazi mapema. Hao wengine wengi wao ni sababu anakuwa hana option vyeti vyenyewe unakuta vya mchongo anaona bora atulie tu.
Na kuna mshkaj nilimskia akilalamika kabisa anajuta kua polisi na yy ana degree yak huko mpk sasa ni constable na mshahara anasem hauongezeki kwa hio anafany means za kutok huko anatak aombe Kaz ktk taasis flani huko anasem hakumfai kabisaNinae mshikaji wangu kbs,
Alikuwa njagu, akajiendeleza now yupo sehemu nyingine nzuri tu shida ni moja kuna vitabia vya kiupolisi huwa haviishi hata wasome vip mfano kupenda kitonga, enforcement kwa vitu vinavyohitaji akili na busara pia. Yaani wanajikutaga km watu walio na exceptional hv!
[emoji3482][emoji3482][emoji3482][emoji117][emoji117][emoji117][emoji250][emoji834][emoji250][emoji834][emoji250][emoji834]Askari polisi wanatajwa kuwa ndiyo kada yenye akili ndogo kuliko hata mgambo
Hao polisi wamabatini wanaopenda tumia noah na kicorola wanazungukaMlinzi anamuua Mlinzi so sad, ulisikia wapi walinzi wanauana wenyewe kwa wenyewe?
Pole sanaDah [emoji26][emoji22]Razak namfahamu sana. Board Room ndio kiwanja changu na huwa naenda kucheza sana Pool [emoji463] pale. Razak pia mara ya mwisho kumuona ni wakati wa kupaki gari pale. Dogo alipenda sana kazi yake hasa kusimamia na kulinda magari yanayo egeshwa. Usiku wa tarehe 28 kuamkia 29 nilikuwa pale mpaka saa 3 usiku nikaondoka. R.I.P Razak
Duh, legeza moyo mtu kaziMbwa hawa aisee. Polisi nikikuta analambwa risasi na jambazi na mwingine kajificha ntamuonesha mwingine huyu huku.
Kutoka moyoni kabisa, nawachukia polisi na jeshi lote la polisi.
counsellinv bila malipo ya kueleweka ni kelele tu kama za mbu.IGP Wambura ajitahidi tu kutenga Bajeti kuwezesha polisi wake wapate counselling. Mental health imewatawala walio wengi, Watamaliza Raia wema!