njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Kuandika hayo yoote umedhihirisha wazi hamna kitu kichwani bata mzinga wewe,Watoto wa juzi kama wewe ambae unakaa kwa mgongo wa shemeji hapo mjini anaemkaza dada yako huwezi kuelewa history ya nchi hii...
Kukujibu tuh hapa nimepoteza muda wangu bila sababu ya msingi.
Nenda kafanye homework kisha uje uongee na baba zako hapa ndani,umeskia we nguchiro?
October 29Ccm hii labda tuingie barabarani
Nashangaa watu wanamlalamikia samia bila wao kujua samia hapo kawekwa tu ila nyuma yupo mhuni ambae ni kikweteHapo lazima rais wa 4 angekuwa Salim Ahmed salim kama Nyerere angefika 2005
Mbona mwamposa ndio kambariki mama yako na mama yako alienda mwenyewe akaweka makalio kwenye kiti cha Mwamposa akabarikiwa nae unamdharau sasa unajua nn kafiri mkubwa ww.Ndiyo shida yenu makafiri,lione...kutwa kutukana watu mitandaoni huku mkiwa hamjui hata historia ya nchi hii
Huyo nyerere kafika.hapa town na kupokelewa na watu kama Abdulwahid skykes na kupewa hifadhi baada ya kuacha kazi pugu sec school ili aungane na wazee wa kiislam hapa mzizima kupigania uhuru wa nchi hii wakati kanisa likiwa limekumbatia wakoloni...soma vitu uelewe...siyo kukalia kuimba kwaya za mwamposa na gwajima tuh fala wewe.
Wewe wakati unapiga kampeni humu kuwa gesi isitoke Ntwara kuja Dar, nchi ilikuwa chini ya mgalatia au muislamu?.KANISA KATOLIKI LIACHE SHOBO NA SIASA ZA NCHI HII,HAPO KANISA LINAUMIA KWA SABABU RAIS NI MUISLAM NA MSTAAFU NI MUISLAM,ACHENI NONGWAA...
NCHI HII WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU KANISA LILIMKUMBATIA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO WANAZITOA WAPI
Kikwete ni Rais pekee mstaafu aliebakia,makafiri mnaumia nini akiombwa uzoefu wake na huyu alieopo madrakani??makafiri hizo chuki zenu peleni
Mpuuzi dawa yake ni kumpuuza, mkimjibu mnampa kichwa, mwacheni aendelee kuandika upupu wakeKwa kuwa maaskofu wana chuki na Rais muislam waislam nanyi Tangazeni chuki na wakristo kama vipi mchapane waislam na wakristo watakaoshinda wachukue dola.
Mna nguvu lakini kutwa kunangwa na mnashindwa kuchukua hatua.
Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni
Wanabodi,
Declaration of Interest
Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.
Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...
Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.
Paskali.
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.Askofu kwa Maonyo haya,
Lazima alikuwa kwenye mfungo na maombi ya nguvu.
Ujasiri huu ni wa kupigiwa mfano.
Cha kushangaza waumini kina Pascal Mayalla ,johnthebaptist uoga umewajaa.
Wewe ***** wazeee hawakupigania uhuru ili nchi iongozwe kidini,na ndiyo maana nyerere alipewa nafasi ya kuwa miongoni mwao,soma historia wewe nguchiro,siyo kukaa kutegemea ugali wa bure kwa shemeji yako,mwishowe unageuka ***** kama.hivi ulivyo.Kuandika hayo yoote umedhihirisha wazi hamna kitu kichwani bata mzinga wewe,
Uhuru gani mlioupigania ? Uhuru haukupiganiwa kidini wewe falo mmoja,
Mkishapewa vinyama vya ngamia vya mgao na tende za msaada mnaanza kupeana umbea huko sio?
Elimu hamna hao Wazungu mngeongea nao nini?
Si mlikua mnaburuza magauni tu na porojo nyingiii ,mimi sawa niko kwa dada yangu hongera wewe uko kwa mumeo huko na angalia kwa mdomo huo utapigwa talaka tatu wewe
Naunga mkono hojaKama alimaanisha jk basi huyo kiongozi wa dini atakuwa na dosari,si jambo jema kwa kiongozi wa dini kumuandana mtu hata kama ana dosari
Wanabodi,
Declaration of Interest
Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.
Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...
Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.
Paskali.
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.Askofu kwa Maonyo haya,
Lazima alikuwa kwenye mfungo na maombi ya nguvu.
Ujasiri huu ni wa kupigiwa mfano.
Cha kushangaza waumini kina Pascal Mayalla ,johnthebaptist uoga umewajaa.
Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni
Hii meza imeshapunduliwa.....
Muda utasema.
Ndio maana tunaishia kutumia lugha ngumu kwenye mada.
In fact...he is done. Sio kwa haya yanayoendelea😂😂😂
Wewe ni kafiri usijivike uislamu. Jenga hoja kwa nafasi yako sio lazima kujivika uislamu ili hoja yako iwe na mashiko.waislamu always tunapenda kulialia sana ndio shida yetu zamani nami nilikua naamini tunaonewa nikaja kujua kama kuonewa ilikua zamani kwa sasa ni upuuzi tu, na tumethibitisha kuwa hatufai kuongoza nchi.
Kama kweli huyu Askofu haya maongezi yake alikuwa anamlenga JK basi atakuwa amepotoka sana. Rais Mstaafu kumshauri aliyeko madarakani ni kitu cha kawaida sana na ndio maana hata kibinadamu tu vijana huwa wanaomba ushauri kutoka kwa wazee hii ni kutokana na ukweli kwamba mzee anakuwa ameona mengi. Sasa huyu Askofu kusema kwamba JK asimshauri kiongozi aliyepo madarakani anautoa wapi?Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni
Ukiona mtu anataja taja sana kitu ujue kinamuhusu tangu mwanzo unataja taja sana uchoko we kobazi ,unajua fika unachofanyiwa ili upate hela ya bando huko sipo ,Wewe ***** wazeee hawakupigania uhuru ili nchi iongozwe kidini,na ndiyo maana nyerere alipewa nafasi ya kuwa miongoni mwao,soma historia wewe nguchiro,siyo kukaa kutegemea ugali wa bure kwa shemeji yako,mwishowe unageuka ***** kama.hivi ulivyo.
Kanisa enzi za uhuru lilikimbia harakati kwa kuogopa bwana zao wazungu sasa hatutaki kuskia shobo zao za kijinga.
Kikwete ataendelea kumpa support samia watake wasitake,kama wanaumia waende wakashitaki vatican
Kwahiyo wewe pia ni ponjoro?watanzania wenzangu tukosoane kwa lugha ya staha,tujenge unoja wa nchi yetu,hakika mnatupa shida sisi ambao tumezaliwa na mzazi mmoja mtanzania na mwingine sio mtanzania.
He is done kivip,kikwete ndiyo pekee mstaafu aliebakia nchi hiii...
Suala la yeye kuendelea kumpa support samia siyo suala la ubaya..wao kwa nini wanaumia.