Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Si ajaribu sasa uone
Sasa nione mimi na sio yeye. Mshirikina ndio zake hizo. Mchawi amegwaya. Mshirikina sampuli yako alienda kwa mchawi kumuua jirani yake. Akaambiwa arudi baada ya siku tatu na kuku mweusi. Akihakikishiwa kufanikiwa. Siku ya tatu kurudi kakuta turubai kwa yule mchawi. Alidhani kafiwa kumbe kafa mwenyewe. Karudi nyumbani na kuku wake mweusi. Njiani kakutana na jirani yake. Jirani kamsalimia na kumpa pole. Kakimbia asijue pole ilikuwa ya nini!
 
Mkuu umezama deep sana kumuelekeza mtu hajui lolote kilaza huyo kishabugia makande ya choroko usukumani ndio msos wao sa hv
 
.................Na hii mada sidhani kama inakuhusu.Wewe umedandia tu.Muhuni mkubwa.
Hudhani kama mada inanihusu, unadhani inamhusu nani?!

Jipe muda kusoma na kuzielewa kanuni za JF.
 
Ameanza tena mambo yake ya kishamba si bure ana mdudu kichwani au masharti ya mizimu
 
Tatizo unaleta hadithi.
 
Njoo umsaidie sasa kama alivyokusaidia wakati wa uchaguzi
Katiba sio ya wapinzani ni ya wananchi
 
Askofu fake tu! Ameshindwa kukusanya kondoo wa imani anahangaikia katiba. Injili ameeneza kwa nani? Kama ni njia ya kupata waumini ndo matokeo yake hayo. Sero ya polisi amuulize Gwajima na presha iliyompata.
Kabla ujauliza injili kaeneza Kwa nani? Jiulize kafanya kazi ya huduma ya Mungu Kwa miaka mingapi? Swali hili anayeweza kujibu ni baba yako maana unaonekana bado unanuka maziwa ya mama.
 
Tofauti ipo kubwa sn mkuu lina kasifa kubwa za kigono(kulawiti)
Kumbe kashfa tu tena kwa wenye chuki nalo.Ila huwezi kuta askofu wa kanisa katoliki akafanya au kuongea mambo ya hovyo au kujibizana na kupelekana polisi
 

Niambie Hekima ya YESU kumuita mfalme. Nendeni mkamwambie yule mbweha?
 
Wewe ni mwongo sana,ni muongo na mtu mlaghai sana.Acha hiyo tabia,inaharibu familia,jamii inayo kuzunguka na taifa kwa ujumla.Pumbafff wewe,hivi ni'nani alikitaka kichwa cha Yohanne m'batizaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…