Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Tatizo anauota UIGP hahaaa! Aache mihemuko kwani MTU akisema watu waandamane kakosea nn?
 
Watu wenye mawazo kama yako ndo wamefanya watanzania kuchezewa kama watoto wadogo nasi kukubali kufyata mkia! Kazi ya mchungaji ni pamoja na kulinda usalama wa kondoo wake! Watanzania wameuawa, wamepigwa, wamebambikiwa kesi za uongo, nasi tuko kimya tunaendelea kutoa macho tu na kuandika kama uliyoandika hapa!
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…