Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

Kwa sheikh watachemka maana yule selo Kwake ni kama nyumbani. Pole baba askofu piga mistari ya ufunuo aote busha yule jamaa wa chato.
Yule hana sala inayosikilizwa, kama walikuwa na T Lisu na wakaangukia pua sasa dua zake unaziamini?
 
Sasa kama amekamatwa si muandamane mwende mkamtowe.
Si mlimuahidi kwamba mko nae bega kwa bega.
Yeye alidhani kucheza na amani ya nchi ni jambo dogo tu!
Haya aende akaanzishe huko sero kwanza.
Halafu akitoka atakuwa skillfully [emoji122]
Ujinga na upumbavu ndiyo maisha yenu. Muda utaongea.
 
Kwa sheikh watachemka maana yule selo Kwake ni kama nyumbani. Pole baba askofu piga mistari ya ufunuo aote busha yule jamaa wa chato.
Apate Corona ingekuwa bora zaidi maana anasema haipo.
 
Mahesabu tayari yametick akitoka hapo anaomba ukimbizi canada
 
This is sad, mbegu ya chuki unayopanda Rais itakutokea puani siku moja,eti ndio somo la historia liwepo kufundisha uzalendo!. uzalendo upi ndani ya chuki!?
Ndiyo vizuri ngoja hilo somo liwepo ili siku moja kizazi kijacho kisome vitabu vinavyoeleza "katika kudai katiba mpya alitokea mtu mmoja aliyejiita askofu Mwamakula aliyehamasisha maandamano ili kudai katiba mpya lakini utawala dhalimu na wa kikandamizaji wa mtu fulani uliokuwepo wakati huo ulimkamata na kumsweka ndani/kumpoteza....."
 
Screenshot_20210216-051837.png

Askofu Emmaus Mwamakula, mshauri wangu wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, amekamatwa na polisi wa Dar. Askofu alipanga kutembea nchi nzima kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Badala ya kupambana na COVID-19 inayotishia maisha ya wananchi, Dikteta Uchwara anapambana na wapinzani wa kisiasa. https://t.co/yhkHk6ZR3d
 
"Jambo hilo ambalo lilileta taharuki kwa umma katika mitandao ya kijamii."

Kamanda mkubwa namna ile anaongea lies and nonsense namna ile?

Taharuki kwenye mitandao ndio nini, amezua mijadala, ameanzisha thread ndefu, au ????????

Wanataka tuwe abject dunderheads, hakuna kujadili lolote, kama slave masters walivyopiga marufuku mtumwa kukutwa anasoma karatasi !

Watu milioni 60, is this the best police leadership talent we can produce ????
 
Haka kajamaa bana, kanajaribu kujitutumua ili kaonekane bado kamo wakati kaliufyata kakasepa kwenda kula bata na shoga yake bob huko ubeberuni!
Kasivyo na hekima sasa kamemwanika askofu kuwa ni mpinzani wa kisiasa!
we kweli kilaza!
katiba inakataza kiongozi wa dini kushiriki siasa hapa tz?!.
ni katiba gani ilimruhusu Gwajima kwenda kugombea ubunge Kawe?!.
 
View attachment 1703425
Askofu Emmaus Mwamakula, mshauri wangu wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, amekamatwa na polisi wa Dar. Askofu alipanga kutembea nchi nzima kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Badala ya kupambana na COVID-19 inayotishia maisha ya wananchi, Dikteta Uchwara anapambana na wapinzani wa kisiasa. https://t.co/yhkHk6ZR3d
Kama huyu Bandekula ndio alikuwa mshauri wa uchaguzi wa lisu basi upinzani Tanzania bado unasafari ndefu

Hakuna anayemsikiliza lisu watanzania walishampuuza sana
 
Haka kajamaa bana, kanajaribu kujitutumua ili kaonekane bado kamo wakati kaliufyata kakasepa kwenda kula bata na shoga yake bob huko ubeberuni!
Kasivyo na hekima sasa kamemwanika askofu kuwa ni mpinzani wa kisiasa!
Unajua maana ya upinzani wa kisiasa!!?
 
Back
Top Bottom