Yule hana sala inayosikilizwa, kama walikuwa na T Lisu na wakaangukia pua sasa dua zake unaziamini?Kwa sheikh watachemka maana yule selo Kwake ni kama nyumbani. Pole baba askofu piga mistari ya ufunuo aote busha yule jamaa wa chato.
Ujinga na upumbavu ndiyo maisha yenu. Muda utaongea.Sasa kama amekamatwa si muandamane mwende mkamtowe.
Si mlimuahidi kwamba mko nae bega kwa bega.
Yeye alidhani kucheza na amani ya nchi ni jambo dogo tu!
Haya aende akaanzishe huko sero kwanza.
Halafu akitoka atakuwa skillfully [emoji122]
Apate Corona ingekuwa bora zaidi maana anasema haipo.Kwa sheikh watachemka maana yule selo Kwake ni kama nyumbani. Pole baba askofu piga mistari ya ufunuo aote busha yule jamaa wa chato.
Ndiyo vizuri ngoja hilo somo liwepo ili siku moja kizazi kijacho kisome vitabu vinavyoeleza "katika kudai katiba mpya alitokea mtu mmoja aliyejiita askofu Mwamakula aliyehamasisha maandamano ili kudai katiba mpya lakini utawala dhalimu na wa kikandamizaji wa mtu fulani uliokuwepo wakati huo ulimkamata na kumsweka ndani/kumpoteza....."This is sad, mbegu ya chuki unayopanda Rais itakutokea puani siku moja,eti ndio somo la historia liwepo kufundisha uzalendo!. uzalendo upi ndani ya chuki!?
Kwa hiyo unadhani katiba ni neno la Mungu? Au unadhani katiba ni sayansi ya tiba ya mifupa?Kumbe Askofu ni mpinzani wa kisiasa....
we kweli kilaza!Haka kajamaa bana, kanajaribu kujitutumua ili kaonekane bado kamo wakati kaliufyata kakasepa kwenda kula bata na shoga yake bob huko ubeberuni!
Kasivyo na hekima sasa kamemwanika askofu kuwa ni mpinzani wa kisiasa!
Harakati za ukombozi haziwaweki nyuma watumishi wa MunguHaka kajamaa bana, kanajaribu kujitutumua ili kaonekane bado kamo wakati kaliufyata kakasepa kwenda kula bata na shoga yake bob huko ubeberuni!
Kasivyo na hekima sasa kamemwanika askofu kuwa ni mpinzani wa kisiasa!
Kama huyu Bandekula ndio alikuwa mshauri wa uchaguzi wa lisu basi upinzani Tanzania bado unasafari ndefuView attachment 1703425
Askofu Emmaus Mwamakula, mshauri wangu wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, amekamatwa na polisi wa Dar. Askofu alipanga kutembea nchi nzima kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Badala ya kupambana na COVID-19 inayotishia maisha ya wananchi, Dikteta Uchwara anapambana na wapinzani wa kisiasa. https://t.co/yhkHk6ZR3d
Kama huyu Bandekula ndio alikuwa mshauri wa uchaguzi wa lisu basi upinzani Tanzania bado unasafari ndefu
Hakuna anayemsikiliza lisu watanzania walishampuuza sana
Tundu Lissu hajawahi kupuuzwa. Ana heshima ya juu sana kuliko Ntarahamwe anayeuwa watu wasio na hatia kisa tu wamehoji elimu yake.Kama huyu Bandekula ndio alikuwa mshauri wa uchaguzi wa lisu basi upinzani Tanzania bado unasafari ndefu
Hakuna anayemsikiliza lisu watanzania walishampuuza sana
Unajua maana ya upinzani wa kisiasa!!?Haka kajamaa bana, kanajaribu kujitutumua ili kaonekane bado kamo wakati kaliufyata kakasepa kwenda kula bata na shoga yake bob huko ubeberuni!
Kasivyo na hekima sasa kamemwanika askofu kuwa ni mpinzani wa kisiasa!