Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1703071
View attachment 1703070
View attachment 1703379
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la Moravian kwa kosa la kuhamasisha maandamano nchi nzima kwa njia ya ujumbe wa maneno katika mitandao ya kijamii. Taarifa ilikuwa ikihamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuandamana wakishinikiza na kudai katiba mpya jambo ambalo ni kinyume na taratibu na sheria za nchi.
Aidha awali Jeshi la Polisi kupitia idara ya upelelezi kanda Maalum Dar es salaam walifanikiwa kupata taarifa hiyo na kumkamata Askofu huyo kwa ajili mahojiano kwa jambo hilo ambalo lilileta taharuki kwa umma katika mitandao ya kijamii.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kwa yeyote ambaye ameshawishika na kupanga kuandamana kuahirisha mara moja nia hiyo ovu ambayo iko kinyume na sheria.
Pia ifahamike ni kosa kufanya maandamano bila kuwa na kibali cha Polisi ili kupewa ulinzi, na atakayejaribu kuandamana atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Hivyo wananchi wote wa jiji la Dar es salaam waendelee na shughuli zao za kukuza uchumi na kujipatia vipato vyao vya kila siku.
LAZARO B. MAMBOSASA– SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
15.02.2021
Zaidi, soma:
Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI" Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana...www.jamiiforums.com
Kitendo cha kusema ni mshauri wako anamuweka kuwa watanzania tunajua ameegamia chama fulani siyo Watanzania woteView attachment 1703425
Askofu Emmaus Mwamakula, mshauri wangu wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, amekamatwa na polisi wa Dar. Askofu alipanga kutembea nchi nzima kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Badala ya kupambana na COVID-19 inayotishia maisha ya wananchi, Dikteta Uchwara anapambana na wapinzani wa kisiasa. https://t.co/yhkHk6ZR3d
huo upako hana.Kwa sheikh watachemka maana yule selo Kwake ni kama nyumbani. Pole baba askofu piga mistari ya ufunuo aote busha yule jamaa wa chato.
Ina maana kero zimeshughulikiwa na kuisha kwenye jamii??Kila awamu ina kauli mbiu yake
Awamu ya hapa kazi tu kuchanganya na maandamano ni maajabu
View attachment 1703071
View attachment 1703070
View attachment 1703379
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la Moravian kwa kosa la kuhamasisha maandamano nchi nzima kwa njia ya ujumbe wa maneno katika mitandao ya kijamii. Taarifa ilikuwa ikihamasisha wananchi wajitokeze kwa wingi ili kuandamana wakishinikiza na kudai katiba mpya jambo ambalo ni kinyume na taratibu na sheria za nchi.
Aidha awali Jeshi la Polisi kupitia idara ya upelelezi kanda Maalum Dar es salaam walifanikiwa kupata taarifa hiyo na kumkamata Askofu huyo kwa ajili mahojiano kwa jambo hilo ambalo lilileta taharuki kwa umma katika mitandao ya kijamii.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kwa yeyote ambaye ameshawishika na kupanga kuandamana kuahirisha mara moja nia hiyo ovu ambayo iko kinyume na sheria.
Pia ifahamike ni kosa kufanya maandamano bila kuwa na kibali cha Polisi ili kupewa ulinzi, na atakayejaribu kuandamana atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Hivyo wananchi wote wa jiji la Dar es salaam waendelee na shughuli zao za kukuza uchumi na kujipatia vipato vyao vya kila siku.
LAZARO B. MAMBOSASA– SACP
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM.
15.02.2021
Zaidi, soma:
Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI" Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana...www.jamiiforums.com
Naamini huyo kilaza sababu ya ukilaza wake, hatokuelewa katu asilaniEwe Kilaza lini utaacha upumbavu? Uzuri wa sheria ni kuwa kila sheria inafahamika kwa namba yake katika mwaka ilipotungwa. Unazungumzia sheria zipi? Kudai katiba mpya ya watu au kudai tume huru ya uchaguzi ni kutokufuata sheria?...
Hana waumini anazunguka tu na manguo ya kiaskofu aliyojishonea mwenyewe kwa fundi cherehani ndio Maana Mambosasa kasema ANAYEJIITA ASkOFU!!!Atawachungia wapi hao kondoo na kanisa lilimfukuza?
Hana kanisa, kiufupi ni mkorofi kiasili, huwa hawezi kutulia
UMemsikiliza vizuri mambosasa? Kaongelea matembezi kwenye barabara za umma na kuleta taaharuki kwa wengineSikujua kama matembezi ya hiari ni kosa la kisheria.Kama ni kosa,chombo gani kinapaswa kusaidia kupatakatiba mpya?
kihalali Mambosasa ana zaidi ya miaka 60Huyu mzee Mambosasa huwa hastafuu? na mashaka sana na umri wake, wote aliosoma nao wamestaafu