Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Si amini kama Waislam wanaweza kudanganyika kirahisi hivyo. Kwa Wakatoliki Sina wasiwasi nao.. Naamini hawatampa jukwaa kama hili kuwadanganya. Bado tunajua kwake Gwajima dini ya kiislam ni ya Majini.
 
Huyu mwendawazimu gwajima asipoteze muda jukwaani , yeye amsujudie tu bwana jiwe na ufalme wa bwana jiwe ( ubunge) atazawadiwa. Yeye bwana jiwe si ndiye anayejidai hapangiwi na yeye ndiye alpha na omega.
 
Huko mitaani kwa wapigakura hali ya Halima ni ya kukatisha tama kabisa!

Wananchi wamemchoka kabisa kiasi kwamba hawataki hata kwenda kumsikiliza kwenye mikutano yake ya Campaign!

Halima amefulia kisera kabisa!
 
English yake yakuungaunga tuu ...nashangaa eti naye ni Phd holder elimu ya TZ kuna loss kubwa kuliko na loss ya uchumi nchini....
mifano Prof Lipumba,Prof Kabudi,Dr Harrison,Prof Tibajuka,Dr Magu..niwasa wakina prof Majimarefu
Weka clip ya Mdee anaongea Kidhungu tumlinganishe na Rashid Gwajima
 
Ni bahati mbaya sana kukazana kumchafua Gwajima hakumfanyi Halima kufaa kwa wananchi.

Hatuwezi kufanya makosa yatakayotugharimu miaka 5 kwa kumchagua mtu ambaye tulishamchagua kwa miaka 10 na hatukuona jipya.

Gwajima hazuiliki.
 
Kuna majimbo ambayo wabunge wake walikuwa kupitia vyama vya upinzani na tumeona wakishirikiana vyema na serikali katika kupanga na kutekeleza mipango na miradi ya wananchi jimboni.

Lakini kwa upande wa Halima imekuwa tofauti.

Imekuwa ni ngumu kukaa pamoja na serikali kupanga na kutekeleza mipango na miradi jimboni.

Sasa mtu wa hivyo atawafaa wananchi kwa vipi?!

Hapana aisee!

Gwajima anatosha.
 
Kuna majimbo ambayo wabunge wake walikuwa kupitia vyama vya upinzani na tumeona wakishirikiana vyema na serikali katika kupanga na kutekeleza mipango na miradi ya wananchi jimboni.

Lakini kwa upande wa Halima imekuwa tofauti.

Imekuwa ni ngumu kukaa pamoja na serikali kupanga na kutekeleza mipango na miradi jimboni.

Sasa mtu wa hivyo atawafaa wananchi kwa vipi?!

Hapana aisee!

Gwajima anatosha.
Ni bahati mbaya sana kukazana kumchafua Gwajima hakumfanyi Halima kufaa kwa wananchi.

Hatuwezi kufanya makosa yatakayotugharimu miaka 5 kwa kumchagua mtu ambaye tulishamchagua kwa miaka 10 na hatukuona jipya.

Gwajima hazuiliki.
Huko mitaani kwa wapigakura hali ya Halima ni ya kukatisha tama kabisa!

Wananchi wamemchoka kabisa kiasi kwamba hawataki hata kwenda kumsikiliza kwenye mikutano yake ya Campaign!

Halima amefulia kisera kabisa!
Boombclaaat
 
Ha ha ha hao waumini wake wanakazi kweli kweli. Mtu muongo muongo hivyoo. Nakuwa na wasi wasi ata ile video inaweza kuwa yake.
Mkuu mbona unaniangasha tena? Ile video ni yake bila wasiwasi wowote. Na mbaya zaidi alikuwa anajirekodi yeye mwenyewe. Huyu mbona ni tapeli mzoefu sana? Hamjamgundua tu?
 
Back
Top Bottom