Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

Ni kweli, kujificha kwenye kivuli cha kumsema vibaya Magufuli kila siku ni unafiki, uoga na ujinga, kwani sio tu hakuwafanyi hao wanaomsema vibaya wageuke malaika isipokuwa kujidanganya wao wenyewe kinafiki, lakini pia, kunawadumaza akili, waendelee kuwa wajinga wasione mabaya yanayotokea leo, au kuyaona na kuyafumbia macho kinafiki.
 
Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Ukabila ndio kichaka mlicho bakiza wale watu walioshangilia jina la Magufuli rufiji ni wasukuma!?
 
"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande
Na orodha ni ndefu kweli ya wanaomtukana Hayati Magufuli ila Baba Askofu Mungu akubariki sana kwa kujitokeza hadharani kusema hayo 'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'
 
Na orodha ni ndefu kweli ya wanaomtukana Hayati Magufuli ila Baba Askofu Mungu akubariki sana kwa kujitokeza hadharani kusema hayo 'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'
Huyo askofu akajambe mbele hana jipya kabisaa ni udini na ukabila tu vinamsumbua.
 
Wakatoliki wanaumia sana mkatoliki wao kufa, walitumia nguvu kubwa kumuweka madarakani
 
Back
Top Bottom