polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Huyajui au mahaba yanakupofusha!? Yaani muamin msiamini ,mtake msitake magufuli alisha kufa na ameacha mazuri yake na pia ameacha mabaya yake sasa askofu asitake kulazimisha watu kuyaongea mazuri tuu , wakati walio tendewa mabaya nao wapo na ndio mashuhudaYapi?