Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Huyu ni wa wapi?
 
Kwahiyo Askofu anatakaje sasa?
Wanyonge wakatae Magufuli kusemwa kwani alijitolea maisha yake kwa ajili ya kusaidia wanyonge, bodaboda, mama ntilie, machinga, wakulima, wafugaji, wavuvi, wachimbaji wadogo wa madini, wajasiriamali wadogo
 
Wakatae vipi? Wawapige ngumi wanaomsema au wawashambulie kwa risasi?
 
Wanyonge wakatae Magufuli kusemwa kwani alijitolea maisha yake kwa ajili ya kusaidia wanyonge, bodaboda, mama ntilie, machinga, wakulima, wafugaji, wavuvi, wachimbaji wadogo wa madini, wajasiriamali wadogo
Hahahaaa hadi wakamsababishia kushindwa kukusanya mapato na serikali ikamshinda kabisa akajikuta anaanza kupora watu pesa zao kwenye account za bank na kunyima watu haki zao ili azibe gap

Unakumbatia maskini ambao sio walipa kodi wazuri huku unagombana na wanao iletea serikali fedha? Yule bwana alikuwa na mawazo ya hovyo sana mungu amuongezee bakora huko aliko
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande amesema wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo

Baba Askofu Nkwande kwenye Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli iliyofanyika katika Madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo Mwanza Jumamosi Tarehe 25/03/2023.

"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande

"sasa unataka kutuambia kwamba hiyo SGR kwamba hakuifanya na alifanya kwa ajli ya nini ya familia yake si kwa ajili yetu sisi hizo stendi hizo zinaingiza magari yake mle, hiyo treni linajengwa tayari ni la nani alafu leo mtuambie kwamba sasa ni mabaya ni mabaya ni mabaya" Askofu Nkwande

"Nilianza kwa kusema kwamba wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo" Askofu Nkwande

HUyo Askofu vipi? Anatuita sisi wanyonge? Anaposema wanyonge ana maanisha nini? Kwamba sisi ni watu tusio ma sauti wala maamuzi?
Kwamna hata tukichagua viongozi sababu ya unyonge wote, machaguo na maamuzi yetu hayataheshimiwa na badala yake wasio wanyonge wataweka watu wawatakao wao?
 
Kwahiyo askofu anataka familia na ukoo wa Ben Saanane vimpigie magufuli vigelegele? Askofu mbw@ kabisa huyo!
 
Kama watanzania ni wanyonge kwanini kanisa linataka sadaka zao? Kwenye jumuia michango kibao mpaka sabuni ya kumfulia padri chupi wanatoa wanyonge mjinga kabisa huyo askofu!
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande amesema wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo

Baba Askofu Nkwande kwenye Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli iliyofanyika katika Madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo Mwanza Jumamosi Tarehe 25/03/2023.

"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande

"sasa unataka kutuambia kwamba hiyo SGR kwamba hakuifanya na alifanya kwa ajli ya nini ya familia yake si kwa ajili yetu sisi hizo stendi hizo zinaingiza magari yake mle, hiyo treni linajengwa tayari ni la nani alafu leo mtuambie kwamba sasa ni mabaya ni mabaya ni mabaya" Askofu Nkwande

"Nilianza kwa kusema kwamba wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo" Askofu Nkwande

Mama awe makini na machawa wake watamgombanisha na Kanisa Katoliki. Izi kauli sio za bahati mbaya. Kanisa Katoliki litakuwa na manung'uniko chini chini na katika Siasa za kidola huwezi kuibeza nguvu ya kanisa katoliki
 
Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Wewe ni mwehu na huna la maana
 
Askofu mnafiki. Wakati CHADEMA wanateswa alikuwa ana chekelea leo anajifanya kuja juu. Muovu lazima asemwe.
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande amesema wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo

Baba Askofu Nkwande kwenye Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli iliyofanyika katika Madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo Mwanza Jumamosi Tarehe 25/03/2023.

"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande

"sasa unataka kutuambia kwamba hiyo SGR kwamba hakuifanya na alifanya kwa ajli ya nini ya familia yake si kwa ajili yetu sisi hizo stendi hizo zinaingiza magari yake mle, hiyo treni linajengwa tayari ni la nani alafu leo mtuambie kwamba sasa ni mabaya ni mabaya ni mabaya" Askofu Nkwande

"Nilianza kwa kusema kwamba wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo" Askofu Nkwande

Eti Wanyonge 🤪🤪🤪 mbona yeye hajachagua kuwa mnyonge?

Watu maskini waache kuchezewa akili na Hawa wanaojiita Watumishi wa bwana , tafuteni pesa huyo Rais wenu wa Wanyonge hakuna kitu Cha maana aliwasaidia si maji Wala dawati Kwa Watoto wenu.
 
Askofu mnafiki. Wakati CHADEMA wanateswa alikuwa ana chekelea leo anajifanya kuja juu. Muovu lazima asemwe.
Mkuu mbona mnaji sahaulisha, wale wafuasi walio kamatwa kanisani st. Joseph wakiwa wamevaa sare za chadema mbona aliwapambania wakapata dhamana na aliongea
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande amesema wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo

Baba Askofu Nkwande kwenye Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli iliyofanyika katika Madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo Mwanza Jumamosi Tarehe 25/03/2023.

"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande

"sasa unataka kutuambia kwamba hiyo SGR kwamba hakuifanya na alifanya kwa ajli ya nini ya familia yake si kwa ajili yetu sisi hizo stendi hizo zinaingiza magari yake mle, hiyo treni linajengwa tayari ni la nani alafu leo mtuambie kwamba sasa ni mabaya ni mabaya ni mabaya" Askofu Nkwande

"Nilianza kwa kusema kwamba wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo" Askofu Nkwande

Huyo Askofu Mkuu ana kautaahira fulani.
Akawaambie hivyo wazazi wa Ben Saanane.
 
Askofu anafikiri Magufuli aliwatetea wanyonge? Maaskofu muwe mnafikiri vizuri!
 
Back
Top Bottom