Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

Heshimu viongozi wa dini hata kama wewe ni dini nyingine
Hawa hawa wanao fanya uashelati kwani kwa tabia za magufuli utahitaji kufikirishwa aunkufundishwa na mtu? Mbona upuuzi wake ulikuwa bayana kabisa kila mwenye akili timamu anaona? Na hapo bado yale ya sirini ambayo system wame mute nayo.

Lakini hao watukanaji unao sema hukuwaona magufuli akiwa hai pia wewe ni muongo, wakosoaji walikuwepo na walipotezwa na wengine kulemazwa hadi sasa na wengine hata hatujui waliko na hata wewe hilo unalijua vizuri kabisa.
 
Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Muhuni ni mama yako aliyekuzaa na kukufanya uweze kutoa lugha za kihuni kama hizo.
 
hili neno mnyonge sijui Nani Nani wa wanyonge sipendi kulisukia masikion mwangu ujinga mtupu
Kwani unafikiri hilo neno lipo kwa ajili ya kutumika vipi? Wanyonge wapo wengi tu TZ labda wewe siyo mnyonge. Hivyo kutumika hilo neno la mnyonge siyo hiari yako.
 
Muhuni ni mama yako aliyekuzaa na kukufanya uweze kutoa lugha za kihuni kama hizo.
Mtetezi wa marehemu aliye lihujumu taifa kiuchumi kwa kuwapumbaza alio waita wanyonge, 🤣 kalale nae chato basi pale pembeni ya kaburi lake kama unampenda, sio kujifanya mtetezi huku wakati hata kaburi lake hujui lime kaa upande gani
 
Wewe utakuwa ni fisadi au shoga ndio maana unachukia kazi za Rais Magufuli kwa sababu alikushughulikia ilivyo.
 
Kum wewe nenda kalale na mzazi wako huko.
 
Muhuni ni mama yako aliyekuzaa na kukufanya uweze kutoa lugha za kihuni kama hizo.
Mtetezi wa marehemu , nenda kalale pale pemben ya kaburi lake ili tujue kweli wewe ni kipenz cha marehemu sio unatupigia kelele hapa wakati hujui hata kaburi lake lime kaa upande gani.
 
Mtetezi wa marehemu , nenda kalale pale pemben ya kaburi lake ili tujue kweli wewe ni kipenz cha marehemu sio unatupigia kelele hapa wakati hujui hata kaburi lake lime kaa upande gani.
Kalale na mama yako!
 
Wewe utakuwa ni fisadi au shoga ndio maana unachukia kazi za Rais Magufuli kwa sababu alikushughulikia ilivyo.
Siwe kukubali kazi za tapeli wa maneno kama yule , katili na muuaji kama yule , huyo alikubalika na wapumbavu tu wa aina yako mlio kuwa mnachekelea kuitwa wanyonge wakati mwenzenu amefungua account uchina kwa ajili ya kuficha hela anazo pora watu kwenye account zao za bank.
 
Mtetezi wa marehemu , nenda kalale pale pemben ya kaburi lake ili tujue kweli wewe ni kipenz cha marehemu sio unatupigia kelele hapa wakati hujui hata kaburi lake lime kaa upande gani.
Wakati mnasema haya maneno, je makaburi ya ndugu zenu ni masafi? Msiwe mnasema kaburi la Magufuli wakati wahuni wanakojolea makaburini ya ndugu zenu huko Kinondoni. Ni ruksa kumchukia mtu lakini muhimu kuweka mipaka ya maneno sababu hii ni Afrika.
 
Hawa ndio wanafanya tuache kutoa sadaka. Siwezi kutoa sadaka ili mtu mjinga kama huyu akaishi kwa raha.
Ukiacha kutoa Sadaka wewe mimi nitatoa mara mbili yako,hakuna madhara yoyote.
 
Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Unarusha mate kushoto kulia nyuma ya key board huku umefura kwa hasira utadhani nyumbu aliyekoswa na risasi.Kunywa kwanza maji ya baridi kisha utulie uanze ku comment tukuelewe.
 
mama yako aliporwa sh ngapi kwenye akaunti yake? Na mume wa dada yako pia aliporwa bei gani?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Huna uwezo huo.
Nitatoa Zaka,sadaka ya mavuno,kuwezesha Kanisa,mchango wa ujenzi wa Kanisa,Sadaka ya Jumuiya na hakuna kitu utafanya na Kanisa na Viongozi wake litaendelea kusimama Imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…