Mungu atupe rais mwingine ambaye atakuwa kama JPM ili hao wanaotukana waone cha mtemakuni.hili neno mnyonge sijui Nani Nani wa wanyonge sipendi kulisukia masikion mwangu ujinga mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atupe rais mwingine ambaye atakuwa kama JPM ili hao wanaotukana waone cha mtemakuni.hili neno mnyonge sijui Nani Nani wa wanyonge sipendi kulisukia masikion mwangu ujinga mtupu
Hawa hawa wanao fanya uashelatiHeshimu viongozi wa dini hata kama wewe ni dini nyingine
kwani kwa tabia za magufuli utahitaji kufikirishwa aunkufundishwa na mtu? Mbona upuuzi wake ulikuwa bayana kabisa kila mwenye akili timamu anaona? Na hapo bado yale ya sirini ambayo system wame mute nayo.yuko sahihi kabisa hatuwezi kufikirishwa na watu wachache humu ndani kwa maslahi yao tuyaunge mambo yao.tunajua hakuna aliyemkamilifu hata hao wanaotukana si wakamilifu pia hivyo hakuna sababu ya kutukana watu ambao hatunao kwa sasa lkn wakati wako hai hao watukanaji hatukuwaona.
Muhuni ni mama yako aliyekuzaa na kukufanya uweze kutoa lugha za kihuni kama hizo.Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Kwani unafikiri hilo neno lipo kwa ajili ya kutumika vipi? Wanyonge wapo wengi tu TZ labda wewe siyo mnyonge. Hivyo kutumika hilo neno la mnyonge siyo hiari yako.hili neno mnyonge sijui Nani Nani wa wanyonge sipendi kulisukia masikion mwangu ujinga mtupu
Mtetezi wa marehemu aliye lihujumu taifa kiuchumi kwa kuwapumbaza alio waita wanyonge, 🤣 kalale nae chato basi pale pembeni ya kaburi lake kama unampenda, sio kujifanya mtetezi huku wakati hata kaburi lake hujui lime kaa upande ganiMuhuni ni mama yako aliyekuzaa na kukufanya uweze kutoa lugha za kihuni kama hizo.
Wewe utakuwa ni fisadi au shoga ndio maana unachukia kazi za Rais Magufuli kwa sababu alikushughulikia ilivyo.Hawa hawa wanao fanya uashelati
kwani kwa tabia za magufuli utahitaji kufikirishwa aunkufundishwa na mtu? Mbona upuuzi wake ulikuwa bayana kabisa kila mwenye akili timamu anaona? Na hapo bado yale ya sirini ambayo system wame mute nayo.
Lakini hai watukanaji unao sema hukuwaona magufuli akiwa hai pia wewe ni muongo, wakosoaji walikiwepo na walipotezwa na wengine kulemazwa hadi sasa na wengine hata hatujui waliko na hata wewe hilo unalijua vizuri kabisa.
Kum wewe nenda kalale na mzazi wako huko.Mtetezi wa marehemu aliye lihujumu taifa kiuchumi kwa kuwapumbaza alio waita wanyonge, 🤣 kalale nae chato basi pale pembeni ya kaburi lake kama unampenda, sio kujifanya mtetezi huku wakati hata kaburi lake hujui lime kaa upande gani
Mtetezi wa marehemu , nenda kalale pale pemben ya kaburi lake ili tujue kweli wewe ni kipenz cha marehemu sio unatupigia kelele hapa wakati hujui hata kaburi lake lime kaa upande gani.Muhuni ni mama yako aliyekuzaa na kukufanya uweze kutoa lugha za kihuni kama hizo.
Kalale na mama yako!Mtetezi wa marehemu , nenda kalale pale pemben ya kaburi lake ili tujue kweli wewe ni kipenz cha marehemu sio unatupigia kelele hapa wakati hujui hata kaburi lake lime kaa upande gani.
Siwe kukubali kazi za tapeli wa maneno kama yule , katili na muuaji kama yule , huyo alikubalika na wapumbavu tu wa aina yako mlio kuwa mnachekelea kuitwa wanyonge wakati mwenzenu amefungua account uchina kwa ajili ya kuficha hela anazo pora watu kwenye account zao za bank.Wewe utakuwa ni fisadi au shoga ndio maana unachukia kazi za Rais Magufuli kwa sababu alikushughulikia ilivyo.
Usha paniki yaan unatabia zote za marehemuKalale na mama yako!
Wakati mnasema haya maneno, je makaburi ya ndugu zenu ni masafi? Msiwe mnasema kaburi la Magufuli wakati wahuni wanakojolea makaburini ya ndugu zenu huko Kinondoni. Ni ruksa kumchukia mtu lakini muhimu kuweka mipaka ya maneno sababu hii ni Afrika.Mtetezi wa marehemu , nenda kalale pale pemben ya kaburi lake ili tujue kweli wewe ni kipenz cha marehemu sio unatupigia kelele hapa wakati hujui hata kaburi lake lime kaa upande gani.
Ukiacha kutoa Sadaka wewe mimi nitatoa mara mbili yako,hakuna madhara yoyote.Hawa ndio wanafanya tuache kutoa sadaka. Siwezi kutoa sadaka ili mtu mjinga kama huyu akaishi kwa raha.
Lenatus Nkwande anajielewa sana sio kama wale waliochukua hela za escrow kwenye sandarusi.
Chawa wa mama na ufipa watapita kimya kimya.
Unarusha mate kushoto kulia nyuma ya key board huku umefura kwa hasira utadhani nyumbu aliyekoswa na risasi.Kunywa kwanza maji ya baridi kisha utulie uanze ku comment tukuelewe.Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
mama yako aliporwa sh ngapi kwenye akaunti yake? Na mume wa dada yako pia aliporwa bei gani?Hahahaaa hadi wakamsababishia kushindwa kukusanya mapato na serikali ikamshinda kabisa akajikuta anaanza kupora watu pesa zao kwenye account za bank na kunyima watu haki zao ili azibe gap
Unakumbatia maskini ambao sio walipa kodi wazuri huku unagombana na wanao iletea serikali fedha? Yule bwana alikuwa na mawazo ya hovyo sana mungu amuongezee bakora huko aliko
Huna uwezo huo.Ukiacha kutoa Sadaka wewe mimi nitatoa mara mbili yako,hakuna madhara yoyote.
Ugonjwa hatari sana wa kushindwa kutofautisha R na L. Mpaka kwenye uandishi.Renatus sio Lenatus
Nitatoa Zaka,sadaka ya mavuno,kuwezesha Kanisa,mchango wa ujenzi wa Kanisa,Sadaka ya Jumuiya na hakuna kitu utafanya na Kanisa na Viongozi wake litaendelea kusimama Imara.Huna uwezo huo.