FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Yaani serikali iwe inakagua mikundu ya watu?Ni muda wa jamii nzima kuungana kwa pamoja, viongozi wa dini, asasi za kiraia, wadau wa serikali na mamlaka zote kupinga ushoga na usagaji ili kuokoa vizazi vyetu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bosi hanuniwi.
Wakizuia arv na mafuta kwa mwezi mmoja tu, mawaziri wote wanageuka kuwa mabalozi wa ushoga.
Ruto atamke lakin asitekeleze tamko, akianza kuwanyanyasa al shabab wanaanza kukinukisha.
Familia zimesahau majukumu.
Mkuu; Kumbuka na nasema tena Kumbuka dini sio kitu cha lazima kwako ili uishi au nikwambie hivi: Religion is not Oxygen that you cannot live without.Usipo kubali kuburuzwa anzisha dini yako, kama dini si yako utaburuzwa tu wenda unataka au hautaki.
: Akili/Rangi
Tell that to samia.Na huo ndio msimamo wa Kiume sasa,Wafute tu misaada ili tujue namna ya kujitegemea
Hakuna kitu, hata huyu MUSEVEN mwaka 2013 alikuja na kasheria uchwara cha kuwaadhibu mashoga lakini alipigwa mkwara wa kufa mtu na mabeberu hadi akakimbilia bungeni akaenda kuifuta ile sheria haraka haraka.Bora hata Museveni, ila Ruto ndo hamna kitu anawandanganyaa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anajua kuwachota akili manyumbu wake.Hakuna kitu, hata huyu MUSEVEN mwaka 2013 alikuja na kasheria uchwara cha kuwaadhibu mashoga lakini alipigwa mkwara wa kufa mtu na mabeberu hadi akakimbilia bungeni akaenda kuifuta ile sheria haraka haraka.
Hapa anawazuga manyumbu tu ili aendelee kuonekana Rais bora atawale milele na milele.
Kwani watu wanapopinga jambo ni mopka walikague? Serikali inaweza kuwekeza kwenye maadili kwa jamii kuanzia watoto,vijana na wazazi, pia inaweza kuweka sheria kali kwa wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja, na kubwa zaidi serikali inaweza kuzuia contents zote ikiwemo miziki au aina ya mavazi yanayochochea mapenzi ya jinsia mojaYaani serikali iwe inakagua mikundu ya watu?
Huku chini ushoga hautuathiri kama wizi wa Mali za umma na upigaji wa mikopo wanayochukua kwa jina letu hao viongozi.Ni sisi huku chini (Grass root level) ndo tunawasukuma Viongozi waifanye hiyo kuwa agenda yao kuu.
Huyu museven janja janja tu, maana mwaka 2013 alijifanya kutunga sheria kali dhidi ya mashoga lakini alipopigwa mkwara na mabeberu akakimbilia bungeni akaenda kuifuta haraka haraka.Ruto yupo mtegoni sababu Mahakama imetenda haki na hawezi kuingilia! Sasa anatumia political influence ili jamii iyakatae hata kama yamepita.
Museven kasaini sheria chap kabla hawajamvuruga ila US tayari wamempa onyo afute haraka hiyo sheria kabla hatua kali hazijachukuliwa. Yeye kasema yupo tayari kwa hatua zozote [emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Msimamo wa serikali mbna uko wazi, huu hapa.Tupate msimamo wa Serikali kwanza kabla ya kupata msimo wa CCM.
Mugabe alinyooshwa na mabeberu hadi akafa na matege anatembea kama kakata senta bolti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amuulize Mugabee alibana wee hadi akafikia kum provoke Obama atamuoa yeye, lakini ilifika hatua yeye mwenyewee aliachiaaaaaa,
Unacheza na sponsors nini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mugabe alinyooshwa na mabeberu hadi akafa na matege anatembea kama kakata senta bolti.
Serikali iko bize kuiba na kukwapua pesa zenu nyie, haina muda na makalio ya watu.Kwani watu wanapopinga jambo ni mopka walikague? Serikali inaweza kuwekeza kwenye maadili kwa jamii kuanzia watoto,vijana na wazazi, pia inaweza kuweka sheria kali kwa wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja, na kubwa zaidi serikali inaweza kuzuia contents zote ikiwemo miziki au aina ya mavazi yanayochochea mapenzi ya jinsia moja
Kwa mantiki hiyo, mzizi mkuu (Tap root)unaotakiwa kung'olewa au kukatwa ni wizi wa mali za Umma na Upigaji wa mikopo wanayochukua kwa jina letu lakini pia ni pamoja na Kero zingine za Kijamii e.g.Maji, Elimu, Afya n.k. ambazo kwazo Umasikini unaendelea kuongezeka. Yan tusipambane na matokeo bali tujikite kwenye chanzo au kisababishi.Huku chini ushoga hautuathiri kama wizi wa Mali za umma na upigaji wa mikopo wanayochukua kwa jina letu na hao viongozi.
Umasikini unazidi kuongezeka inafikia hatua vijana wanaamua kujiingiza kwenye uhalifu na wanaishia Magerezani huko ndio wanaenda kulawitiwa na kujifunza ushoga.
Endelea kujileta kwangu, Kama sijakuchana huo mshimo wako unaonuka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakufa kwa stress huu mwaka, poleeee wee mtalikiwa. Mxxxxieeeew
Naona Bado DC anakufata fata itabdi tufike ofcn kwake Moja kwa moja ukamtukane live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakufa kwa stress huu mwaka, poleeee wee mtalikiwa. Mxxxxieeeew
BAKWATA pia kaongea Jana kama sio juziMakanisa ya magharibi [ RC, Anglican, Lutheran and so on ]
Ni suala la muda tu, nyie waamini hamna nguvu ya maamuzi juu ya makanisa yao na taratibu zao especially Afrika.
Kaongea nini ?BAKWATA pia kaongea Jana kama sio juzi