Duh Mkuu ukiumwa njaa si unatafuta chakula ?Kwa hyo wewe unaamini mzungu ndo atakuponya?
Atakumbushwa fadhira aliyopewa.Askofu alindwe
Labda kajifungia ndani. Wanadanganya wadanganyika afu wao wanaji-fungia
Nimecheka kwa sauti, eti njaaa"Muujali Uhai"
Kuna mtu kaandika sehemu, Kanisa linafanya kazi ya serikali na serikali inafanya kazi ya kanisa.Hili suala sasa linageuka vita kati ya viongozi wa dini na viongozi wa Kisiasa, kiukweli Serikali inakwama sana kwenye hili na mwisho wake hautakuwa mwema.
Biblia sio kitabu cha kunyofoa aya moja na kuisoma kisha kuitafsiri peke yake, Biblia husomwa na kutafsiriwa kwa ujumla wake. Viongozi wa dini ni wataalamu wa Teolojia, huwezi kushindana nao kwa kuwa umesoma aya moja na kuiletea tafsiri yakoIts sad pale viongozi wa kiroho wanapohamisha imani yao toka kwa Bwana Yesu na kuipeleka kwenye barakoa.. Ndipo Yesu akawakemea wafuasi wake akisema, hata baada ya kukaa na mimi sikubzote hizi, bado tu hamjanifahamu vizuri?
View attachment 1707058i peke yake, Biblia inasomwa na
wanafamilia hawataki masihala kabisa
"Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu,mimi nalikuja ili wawe na uzim,kisha nao tele.Mimi ndimi mchungaji mwema.Nimewafungia kabatini wateule wangu wote. Wao hunisikiliza Mimi tu, nikisema nimeishinda corona wote wataamini hivyo na hawatajikinga.
Kwahiyo tumsubiri tukikesha na kuimba au maabara tukitafuta chanjo ?Mkombozi ni MUNGU PEKEE
hizo nyingine ni mbwembwe