Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Hiyo ni technical retreat....he just lost a battle, Malasusa should prepare for a full scale war
Hakuna battle yoyote, KKKT ni Kanisa lililotokea ardhi ya Unyakyusa na baadaye kusambaa mpaka huko uchagani.
Hakuna Mtu wa kumtikisa Malasusa,trust me!
 
Hakuna battle yoyote, KKKT ni Kanisa lililotokea ardhi ya Unyakyusa na baadaye kusambaa mpaka huko uchagani.
Hakuna Mtu wa kumtikisa Malasusa,trust me!
Kwa hiyo mmeligeuza kanisa la Kabila la wanyakyusa?
 
Acha kupotosha! Anaendelea na likizo yake ya siku 60 ili kuendelea kutafakari. Kwanini unakuwa na roho ya kiibilisi ya kushabikia migogoro ya kichungaji?Hizo siasa zako peleka huko na si kanisani. Acha kanisa lifuate taratibu zake.
Hawa ndio wale wajinga waliokuwa wanadhani kupitia hili la Mchungaji Kimaro wangeliona Kanisa likigawanyika na kondoo kutangatanga.

Hawawezi kuleta taarifa kama ilivyo kwakuwa imewaumiza sana.

Mchungaji Kimaro ametumia vyema likizo yake kuomba, kujifunza na kujinyenyekeza kwa Mungu. Ameeleza mwenyewe vizuri kabisa juu ya 'church discipline' na vile Askofu Malasusa anavyomjenga na kumtunza kichungaji.

Hawa walidhani Mchungaji Kimaro angekuwa mpumbavu na akaenda kuanzisha dhehebu lake binafsi. Mchungaji Kimaro ni mtu makini na mwenye akili sana, alipitiwa tu na shetani na kiburi cha umaarufu.

Hili alilofanya leo litakuwa limemuumiza sana shetani na mawakala wake.
 
Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Kwani kosa lake nini mpaka asamehewe?
 
Comedy
Alimfukuza kwa maandishi akiwa ofisini anamsamehe kwenye ibada ya shuran kaona wach wamejazana ngoja ...DK K SHIKAMOOO ENDELEZA MOTO
Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
 
MSAIDIZI NDIO AMESAINI BARUA ANATOAJE MSAMAHA YEYE KWAHIO ALIANDIKA BARUA KWA KMARO MSAIDIZI ASAINI HAHAHA ALAFU AJE KUTOA MSAMAHA KWENYE IBADA SHTUKENI.........

ALIMPA OFISIINI BARUA YA KUMFUKUZA ANGEMWITA OFISIN AMPE BARUA YA KUMSAMEHE

MNACHEZA NA MADHAABAHU ZA BWANA MOTO WA.MUNGU UTAWAWAKIA KABLA YA JUN 2O23..MUNGU ADHIHAKIWI. KAMWE..

UMSIMAMISHE FEI TOTO KWA BARUA YA OFISINI YANGA NA MAZEMBE AOMBE MSAMAHA UWANJA WA TAIFA HAHAHAHAHANAPITA TU
Pdidy acha kelele😂😂 Mchungaji Kimaro ameendelea kusema tena na tena, yeye ni mchungaji anayeheshimu na kulinda kiapo chake cha kichungaji( alikula hicho kiapo mbele ya huyo huyo Askofu unayemnanga hapa)

Pili, Mchungaji Kimaro hajaomba msamaha ili asamehewe na arudishwe Kijitonyama, ameomba msamaha kwa Kanisa na viongozi wote wa kanisa juu ya matamshi yake yaliyokwaza waumini. Yeye anaendelea kutumikia likizo yake na kuheshimu mamlaka. Hata msamaha umetoka kwa maana hiyo.

Msaidizi wa Askofu huko KKKT ni 'Dean' sasa hebu chunguza ujue kazi zake.

Ni muhimu sana kuacha kuzungumzia mambo tusiyoyajua kwa ushabiki.
 
Tatizo lenu kina chiembe ni kudhani Cheti feki vilikuwa haki yenu!

Mtakufa mkiwa na mioyo iliyochoka sana!

Yule mbayehangaika nae kawaachia msongo mkubwa sana!
 
Tatizo lenu kina chiembe ni kudhani Cheti feki vilikuwa haki yenu!

Mtakufa mkiwa na mioyo iliyochoka sana!

Yule mbayehangaika nae kawaachia msongo mkubwa sana!
Vyeti feki vimetokea wapi? Au ndio yale ya mtu ana PhD lakini hawezi kuongea au kuandika sentensi ya kiingereza, na maprofesa waliomsaidia kuandika thesis wote akawapa byeo?
 
Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Unaleta siasa kwenye mambo ya Dini mkuu
 
WAkati anampa likizo angeenda kanisani kama alivyofanya na kusema anampa likizo....uwezi pewa barua ya likizo ofisini ukaombe msamaha kwa waumini wasiiomhusu...kaka hiyo comedy tena ni mch wa kinyerezi anatoa shukran kwa kuokolewa na ajali na wenzie

Ameshindwa kumwita na kumwambia aombe radhi ofisini mpaka kwa washarika ...mkuu mmn kkkt pia ila wapunguze comedy comedy moto uko dunian...
Mkuu, kuna kitu unashindwa kuelewa.

Leo ni Mchungaji Kimaro alienda kanisani kama muumini kuhudhuria ibada ya shukrani ya Mchungaji ambaye pia ni rafiki yake kama alivyosema.

Katibu Mkuu wa Dayosisi aliewa nafasi ya kutambulisha watu na watumishi wa Dayosisi, akatambulisha wachungaji wote na akadai amemuona mchungaji Kimaro(ambaye nadhani hakutarajia kumuona kutokana na hali iliyokuwepo) akamuomba aende mbele na asalimie.

Katika kutoa salamu zake Mchungaji Kimaro, kwa unyenyekevu akatumia fursa ile kuomba radhi kwa matamshi yake aliyotoa madhabahuni. Aliomba radhi kwa Askofu wa DMP, Mkuu wa KKKT, waumini na wachungaji wenzake juu ya hali ya sintofahamu iliyokuwepo.

Askofu Malasusa akatumia pia fursa hiyo kumtangazia msamaha kwa niaba ya wote.

Hakuna popote ambapo Askofu Malasusa ametangaza msamaha wa likizo ya siku 60 wala kumrudisha mchungaji kijitonyama.

Kilichotokea ni sawa na wewe uchome nyumba ya Baba yako, ushtakiwe na baadae ufungwe gerezani, Baba akija gerezani na umuombe msamaha. Hiyo haifuti hukumu yako.

Mchungaji Kimaro ameomba msamaha kwa matamshi yake,hajaomba msamaha uli mapumziko yake ya siko 60 yasitishwe.
 
Dini na Siasa ni mapacha
Sio kwa angle hiyo.Mi ni mkatoliki najua namna kanisa linavyoendesha mambo yake.Askofu ndio bossi wa wachungaji wote hata kwa warutheli hivyo Kimaro yupo chini ya Malasusa kwa msingi wa Dini.
 
Back
Top Bottom