Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Mentality hii ni kujenga Taifa la mafala...unaombaje msamaha kwa kitu usichokijua?....tabia ya kijinga sana hii...
Ni muhimu mtu ajue kosa ili arekebishe alipokosea...huu ujinga wa kuomba omba msamaha unatengeneza roho ya inferiority sana...
kwa watu wa rohoni ni alama ya nguvu na ushindi, kisasi na mabishano na alama ya kushindwa na udhaifu wa nafsi
 
Kaguswa broiler kipenzi cha watu.. tuliguswa sisi kuku wa kienyeji kutoka morogoro...
 
kwa watu wa rohoni ni alama ya nguvu na ushindi, kisasi na mabishano na alama ya kushindwa na udhaifu wa nafsi
Sio kweli...nasema tena sio kweli...kutambua kosa ni muhimu kwa ajili ya kurekebisha...mtu yoyote anaekupenda atakuambia ukweli otherwise atakuwa ana roho mbaya...atubu kwanza...
Personally siwezi kufanya upumbavu wa kuomba msamaha kwenye mazingira kama hayo...NEVER.
 
Acheni Kanisa Limalize Mambo Yake Amani Itawale Kila Eneo Linataratibu Zake
Wenyewe Wanajua Kaomba Msamaha Kwa Nani?
Kuuambia Umma Ama Waumini Wamehiyari Wenyewe
 
ni mfano tu, anaweza pangiwa pahala popote lakini pia anaweza rudishwa KIJITONYAMA;
So long as ni muajiriwa wa KKKT basi tutegemee lolote, lakini kwa ushauri , wampangie tu kwengine, sometimes inaweza mjengea mtu kiburi, sometimes.
Nyie ndiyo wachawi kasoro tunguli.
Wivu wivu wivu wivu wivu wivu wivu
 
Acha kupotosha! Anaendelea na likizo yake ya siku 60 ili kuendelea kutafakari. Kwanini unakuwa na roho ya kiibilisi ya kushabikia migogoro ya kichungaji?Hizo siasa zako peleka huko na si kanisani. Acha kanisa lifuate taratibu zake.
Hapo Kuna siasa
 
Akina Chinembe,sasa mmetoka kwenye siasa na sasa mpo kwenye mambo ya dini au ndio mmegeuza siasa na dini kuwa kachumbari[emoji848]
Hawa huwa wako kama sigara kali ukiwasha mbele au nyuma kote inawaka.
Ni wepesi wa kugeuza geuza maneno na uongo juu kama yule bosi wao mwendazake akajifanya kuingilia hadi taratibu za dini kukusanya sadaka. Wamemrithi tabia zake hawa jamaa
 
Back
Top Bottom