Acha chuki na upumbavu kushadadia mambo ya Mungu mwenye upendo na mwenye msamaha usiomithirika,
Msamaha wake Mungu ni mfano wa mtoto mdogo ukimchapa ndani ya hilo lisaa amesahau fimbo zote na kuambatana na mtoa adhabu!
Mungu siyo mwanadamu kama wewe mwenye chuki na majivuni pia kijicho!
Mungu alimsamehe Paulo aliyechinja mamia elfu ya wafuasi wa Yesu, sembuse kimaro na Makonda?
Nitajie ni kosa lipi kwa Mungu asilolisamehe ukimrudia kwa toba?
chuki yako na ufe nayo
Mungu angikuwa ni Mchaga, msukuma angefanya nini?
JE kama angekuwa Msukuma? Wazaramo wangefanya nini? Na Mungu angelikuwa wa wenye pesa tu, masikini wangiliishije?
Mungu yeye ni Mungu tu, ni Mungu wa wote wenye mwili, mawazo yake hayachunguziki,