Hakuna battle yoyote, KKKT ni Kanisa lililotokea ardhi ya Unyakyusa na baadaye kusambaa mpaka huko uchagani.Hiyo ni technical retreat....he just lost a battle, Malasusa should prepare for a full scale war
Kwa hiyo mmeligeuza kanisa la Kabila la wanyakyusa?Hakuna battle yoyote, KKKT ni Kanisa lililotokea ardhi ya Unyakyusa na baadaye kusambaa mpaka huko uchagani.
Hakuna Mtu wa kumtikisa Malasusa,trust me!
Acha kupotosha! Anaendelea na likizo yake ya siku 60 ili kuendelea kutafakari. Kwanini unakuwa na roho ya kiibilisi ya kushabikia migogoro ya kichungaji?Hizo siasa zako peleka huko na si kanisani. Acha kanisa lifuate taratibu zake.
Hiyo ni technical retreat....he just lost a battle, Malasusa should prepare for a full scale war
Malasusa ananyanyasa wachungaji sana, kama haoni moshi, basi asubiri motoHakuna full scale war , msikuze mambo ya kijinga
Ipo siku Kimaro atakuwa askofu.
Malasusa ananyanyasa wachungaji sana, kama haoni moshi, basi asubiri moto
Kwani kosa lake nini mpaka asamehewe?Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Ndg muogope Mungu.Malasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Hujasikia chananja anataja listi ndefu ya wachungaji wanaoteswa na Malasusa?Wachungaji wanapata mahitaji yao Kama kawaida, nani ananyanyaswa.
MSAIDIZI NDIO AMESAINI BARUA ANATOAJE MSAMAHA YEYE KWAHIO ALIANDIKA BARUA KWA KMARO MSAIDIZI ASAINI HAHAHA ALAFU AJE KUTOA MSAMAHA KWENYE IBADA SHTUKENI.........
ALIMPA OFISIINI BARUA YA KUMFUKUZA ANGEMWITA OFISIN AMPE BARUA YA KUMSAMEHE
MNACHEZA NA MADHAABAHU ZA BWANA MOTO WA.MUNGU UTAWAWAKIA KABLA YA JUN 2O23..MUNGU ADHIHAKIWI. KAMWE..
UMSIMAMISHE FEI TOTO KWA BARUA YA OFISINI YANGA NA MAZEMBE AOMBE MSAMAHA UWANJA WA TAIFA HAHAHAHAHANAPITA TU
Wasiotmanika.nanmbingu watasikiaaKimaro imebd awe mpole aisee , hii dunia ina wahuni Sana
Vyeti feki vimetokea wapi? Au ndio yale ya mtu ana PhD lakini hawezi kuongea au kuandika sentensi ya kiingereza, na maprofesa waliomsaidia kuandika thesis wote akawapa byeo?Tatizo lenu kina chiembe ni kudhani Cheti feki vilikuwa haki yenu!
Mtakufa mkiwa na mioyo iliyochoka sana!
Yule mbayehangaika nae kawaachia msongo mkubwa sana!
Unaleta siasa kwenye mambo ya Dini mkuuMalasusa amekutana na kigingi kizito, kakubali yaishe, alizoea kuoneaonea wachungaji, Sasa ameweka ugoko, Kimaro kaweka Jiwe la Mbinguni, wachungaji wajiandae kumuangusha katika nafasi yake ya uaskofu, wasamehe lakini wasisahau anayewaangamizaView attachment 2522759
Jibu mujarabu 100%, kwa tafsiri nyingine tatizo ni wivu wa bosi kwanini pawepo na mchungaji ambaye ni maarufu na anakubalika zaidi yake.Kuwa maarufu kuliko Boss wake
Dini na Siasa ni mapachaUnaleta siasa kwenye mambo ya Dini mkuu
WAkati anampa likizo angeenda kanisani kama alivyofanya na kusema anampa likizo....uwezi pewa barua ya likizo ofisini ukaombe msamaha kwa waumini wasiiomhusu...kaka hiyo comedy tena ni mch wa kinyerezi anatoa shukran kwa kuokolewa na ajali na wenzie
Ameshindwa kumwita na kumwambia aombe radhi ofisini mpaka kwa washarika ...mkuu mmn kkkt pia ila wapunguze comedy comedy moto uko dunian...
Sio kwa angle hiyo.Mi ni mkatoliki najua namna kanisa linavyoendesha mambo yake.Askofu ndio bossi wa wachungaji wote hata kwa warutheli hivyo Kimaro yupo chini ya Malasusa kwa msingi wa Dini.Dini na Siasa ni mapacha