Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Huwezi kuwatangazia watu msamaha wa jambo fulani wakati hukuwahi kuwaambia kosa walilolifanya.

Ni kama kuja na majibu wakati hukuwahi kuleta maswali. Huwezi kupokea simu kama hukupigiwa.
 
Huwezi kuwatangazia watu msamaha wa jambo fulani wakati hukuwahi kuwaambia kosa walilolifanya.

Ni kama kuja na majibu wakati hukuwahi kuleta maswali. Huwezi kupokea simu kama hukupigiwa.
Muhimu ni msamaha!
 
Wamfunde pia aache kuponda na kudharau wapentekoste ilhali yeye mwenyewe huendesha ibada kwa mfumo wa kipentekoste na si kilutheri
 
Wewe umejuaje hana kosa,sio Kila kitu lazima hao viongozi wawake wake,vingine vinabaki kwa wao wenyewe,kanisa Lina misingi,na taratibu zake.ndio maana tangu mwanzo kosa halijatangazwa Kila mtu anasema lake
 
Abadilike sasa asilete mambo yake yale.

Kanisa lina misingi yake.

Misingi yake ni kuhubiri injili watu wamjue Mungu.
 
Lovely,glory to God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…