Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mlimpa likizo ya siku 60 kwamba mnashughulikia suala lake; kabla hata ya siku 60 mmemwita Kinyerezi aombe radhi na msamaha. Kwenye msamaha badala yakuomba radhi Kwa makosa aliyotenda amekuwa mjanja na ametumia PhD yake kuwaombea radhi wale waliokubeza nakufanya udhalilike mitandaoni
Je, radhi aliyoomba Kimaro NI wewe kukashfiwa mitandaoni au ililenga nini? Kwanini aombe radhi kanisani Kinyerezi ambapo siyo usharika wake? Ripoti yenu ya uchunguzi inasemaje? Au ndo kuwatisha wachungaji wasiendelee kusimamia kweli?
Nakubaliana na matamshi ya Askofu Bagonza; nakubaliana na reform inayofanywa ndani ya Ofisi ya shekhe mkuu WA Dar es salaam. Viongozi waliokuwa kwenye kamati ya Amani ya Makonda damu za watu walioteseka mkakaa kimya hazitawaacha salama. Mliacha kumtumikia Mungu mkamtumikia Makonda, laana isipowapiga itawapiga watoto wenu. Endeleeni kujiona ninyi ni wakubwa wa taasisi, ipo siku.