Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Hujatoa majibu umeuliza maswali tu, conclusion IPO wapi?Soma vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujatoa majibu umeuliza maswali tu, conclusion IPO wapi?Soma vizuri.
Ungekua karibu ningekuzaba bonge la Kofi, tuwape wakina nani? Shuleni ulienda kusomea ujinga?Soma heading.
Wewe kwenu wapi?humu Jamiiforums tulikuwa huru kuandika! hawa waarabu sio watu wazuri ni wakatili sana! mmezaliwa mkakuta tu historia ya bagamoyo ila hamjakutana nao uso.kwa uso! safari hii mtajionea wenyewe
Huko. Zanzibar walikuwa wamejitenga! Karume akatoa amri waolewe hawa waarabu! ikawa timbwili! wabaguzi huko kwao weusi ndio waliojenga miji yao! wamepukutika woote maana hawataki.kuchanganya kizazi! wameua weusi sana huko
Tukiacha upigaji tutafanikiwa,,, shida iko hapo tuKwa hio tuwape Wajomba watuendeshee Sisi hatuwezi kujisimamia akili zetu hazina akili
Tumejifunza, tumejisahihisha, tumejirekebisha, tumejipanga, tumejiandaa kwa viwango vya kimataifa, kuiendesha SGR, wenyewe kisasa zaidi, kwa umahiri weledi sana, na matarajio ni kuiendesha kwa faida ambayo haijawahi kutokea humu nchini 🐒Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Apewe askofu Gwajima 🐼Hio ATC tumpe nani tena Mwarabu?
Sasa kama tutaruhusu kuongozwa na huyo kichaa atakaekuja nadhani sisi wananchi tutakaomchagua ndio tutakua vichaa zaidi.Tunajidai hapa kutafuta Wawekezaji. Atakuja kichaa mwingine na sera zake. Ataona kuwaachia sekta binafsi (haswa wageni) kuendesha mashirika muhimu ya umma ni hatari kwa uchumi na usalama wa nchi.
Atafuta mikataba. Atalipa mabillion ya fedha.
Duh!.
Nyie walemavu wa Rushwa na UfisadiBandari kashachukua tayari sasa tumpe Reli na Ndege zetu atuendeshee Sisi walemavu wa akili?
Kwa hili nakuunga mkono , Watanzania ni wezi tu Bora waendeshe wageni labda Akili zitatukaaa sawaKuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
muda si mrefu behewa zitachakaa na service kushindwa kufanyika sababu ya wizi na ufisadi kwenye huo mradi. Mda utaongea tu.Tumejifunza, tumejisahihisha, tumejirekebisha, tumejipanga, tumejiandaa kwa viwango vya kimataifa, kuiendesha SGR, wenyewe kisasa zaidi, kwa umahiri weledi sana, na matarajio ni kuiendesha kwa faida ambayo haijawahi kutokea humu nchini 🐒
ustahimilivu na Subra ni mambo muhimu sana kuelekea kuanza rasmi operations za SGR🐒
Shida ya hao wageni baada ya mwaka tu watakuwa wame adopt tabia za kishenzi. Tunarudi kule kule tu maana viongozi wataanza kuwatishia tishia na kuanza kuomba omba rushwa.Kwa hili nakuunga mkono , Watanzania ni wezi tu Bora waendeshe wageni labda Akili zitatukaaa sawa
Waambie serikali mashirika yapate watendaji, bodi na menejiment zake kupitia usaili wa wazi, watu waombe hizo kazi na wapimwe kwa vigezo vinavyopimika..hizi sio zama za kuteua mtu kumpa fursa ajikimu! Hicho ulichosema wewe ni limbukeni ndio anafikiri ujinga wa aina hiyo wa kuwapa watu Mali yako wakutengenezee wewe umekunja nne barazani..zama hizo zilishapita kitambo.Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Ebwanawee rushwa na ufisadi na Ile wanaita kuitia hasara Serikali Pesa wanakula halafu hawarudishiNyie walemavu wa Rushwa na Ufisadi
Zile boat pale Kawe kashapeleka na wale wavuvi alisema atawapeleka Birmingham alishawapeleka?Apewe askofu Gwajima 🐼
Shida kila anaeshika anataka apige na asipopiga unaonekana Mjinga ubaya zaidi ni pale anapotokea boya mmoja anaetaka apige mara 5 zaidi ya aliemtanguliaTukiacha upigaji tutafanikiwa,,, shida iko hapo tu