ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

humu Jamiiforums tulikuwa huru kuandika! hawa waarabu sio watu wazuri ni wakatili sana! mmezaliwa mkakuta tu historia ya bagamoyo ila hamjakutana nao uso.kwa uso! safari hii mtajionea wenyewe

Huko. Zanzibar walikuwa wamejitenga! Karume akatoa amri waolewe hawa waarabu! ikawa timbwili! wabaguzi huko kwao weusi ndio waliojenga miji yao! wamepukutika woote maana hawataki.kuchanganya kizazi! wameua weusi sana huko
Wewe kwenu wapi?
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Tumejifunza, tumejisahihisha, tumejirekebisha, tumejipanga, tumejiandaa kwa viwango vya kimataifa, kuiendesha SGR, wenyewe kisasa zaidi, kwa umahiri weledi sana, na matarajio ni kuiendesha kwa faida ambayo haijawahi kutokea humu nchini 🐒

ustahimilivu na Subra ni mambo muhimu sana kuelekea kuanza rasmi operations za SGR🐒
 
Naunga mkono hoja. Pia mashirika yote ya umma yanayojiendesha kwa hasara serikali iingie ubia na wawekezaji binafsi kwajili ya kuyaendesha. Mbona TBL au NMB Bank wanapata faida kila mwaka tunashindwa kuuona huo mfano?
 
Tunajidai hapa kutafuta Wawekezaji. Atakuja kichaa mwingine na sera zake. Ataona kuwaachia sekta binafsi (haswa wageni) kuendesha mashirika muhimu ya umma ni hatari kwa uchumi na usalama wa nchi.

Atafuta mikataba. Atalipa mabillion ya fedha.

Duh!.
Sasa kama tutaruhusu kuongozwa na huyo kichaa atakaekuja nadhani sisi wananchi tutakaomchagua ndio tutakua vichaa zaidi.
 
Nacheka Sana. Tanzania haina watu wenye uwezo kusimamia mashirika ya umma yakaleta faida. Maana yake hata hapa jf hakuna watu wenye uwezo huo. Makampuni ya ujenzi ya china kila siku tunaona kwenye miradi wanawezaje?
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Kwa hili nakuunga mkono , Watanzania ni wezi tu Bora waendeshe wageni labda Akili zitatukaaa sawa
 
Tumejifunza, tumejisahihisha, tumejirekebisha, tumejipanga, tumejiandaa kwa viwango vya kimataifa, kuiendesha SGR, wenyewe kisasa zaidi, kwa umahiri weledi sana, na matarajio ni kuiendesha kwa faida ambayo haijawahi kutokea humu nchini 🐒

ustahimilivu na Subra ni mambo muhimu sana kuelekea kuanza rasmi operations za SGR🐒
muda si mrefu behewa zitachakaa na service kushindwa kufanyika sababu ya wizi na ufisadi kwenye huo mradi. Mda utaongea tu.
 
Kwa hili nakuunga mkono , Watanzania ni wezi tu Bora waendeshe wageni labda Akili zitatukaaa sawa
Shida ya hao wageni baada ya mwaka tu watakuwa wame adopt tabia za kishenzi. Tunarudi kule kule tu maana viongozi wataanza kuwatishia tishia na kuanza kuomba omba rushwa.

REF: Ujio wa halotel ulivyokuwa na hivi leo hali ikoje.
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Waambie serikali mashirika yapate watendaji, bodi na menejiment zake kupitia usaili wa wazi, watu waombe hizo kazi na wapimwe kwa vigezo vinavyopimika..hizi sio zama za kuteua mtu kumpa fursa ajikimu! Hicho ulichosema wewe ni limbukeni ndio anafikiri ujinga wa aina hiyo wa kuwapa watu Mali yako wakutengenezee wewe umekunja nne barazani..zama hizo zilishapita kitambo.
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?

Basi hata serikali nayo tuwape watu wengine maana nayo pia ipo chini ya Watanzania
 
Back
Top Bottom